Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete?

Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa.

Tazama clip hizi hapa chini.

Kiuhalisia mwanaume ndio anatakiwa kupigiwa goti. Kwa tamaduni za kiafrika magoti anapiga mwanamke.
Tusisahau tamaduni zetu wapendwa, na ukishaanza mpigia magoti mwanamke, moja kwa moja umempa mamlaka juu yako.
 
Kiuhalisia mwanaume ndio anatakiwa kupigiwa goti. Kwa tamaduni za kiafrika magoti anapiga mwanamke.
Tusisahau tamaduni zetu wapendwa,na ukishaanza mpigia magoti mwanamke,moja kwa moja umempa mamlaka juu yako.
Umenena vyema
 
Hakuna lazima mwanaume apige goti kumvisha mchumba wake mtarajiwa Pete .

Mengine yatafuata .

Ndoa ikishafungwa wote wataplay part yakupendana kujaliana na kupendana
 
Hakuna lazima mwanaume apige goti kumvisha mchumba wake mtarajiwa Pete .

Mengine yatafuata .

Ndoa ikishafungwa wote wataplay part yakupendana kujaliana na kupendana
Hakuna ulazima yoyote yule kupiga goti. Halafu huo ni utamaduni wa wazungu sie hatuna utaratibu huo tumeiga
 
Kutembea kwa magoti ndo heshima??? Hapana kwa kweli. Nasema tena hapana...binti yangu hatafanya hivi tena mbele za watu. Naharibu hiyo sherehe watajua hawajui
Inategemea culture na culture! Kuna culture kama niliona waganda wakati wa Obote ndivyo walikuwa wanampa Zawadi awe me au ke
 
Kutembea kwa magoti ndo heshima??? Hapana kwa kweli. Nasema tena hapana...binti yangu hatafanya hivi tena mbele za watu. Naharibu hiyo sherehe watajua hawajui
Basi muoe huyo mwanao 😂😂😂
 
Kumpigia magoti mwanamke ni kitu ambacho aitawahi fanya, BTW dhumuni la kupiha magoti huwa ni nn?
 
Back
Top Bottom