Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

We mtoto wa kiume muache mkeo mtarajiwa ndo apige goti then kimahaba unaweza muinua ndo umveshe

Siezi ruhusu mwanaume wangu apige goti wooiiii bora tusimame wote kama minguzo ya umeme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kwelii.
 
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba

Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Japo uko sahihi, ila watakupinga.
 
Kumbe kuvalishana pete bado kupo au mnataka kusema na kuoana bado kupo ni matapeli wanaojaribu kukaa pamoja kupotezeana muda siku zipite wafe basi hamna kingne
 
Duh! Kwahiyo mwanamke yeye hana shida na mume, yani yupo yupo tu kama mti.
Mwanamke anahitaji ndoa. Lakini ndoa huombwa na mwanaume tena kwa unyenyekevu halafu baada ya hapo ni kazi ya mke kumtii mume wake ambaye anampenda.
 
Back
Top Bottom