Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

We mtoto wa kiume muache mkeo mtarajiwa ndo apige goti then kimahaba unaweza muinua ndo umveshe

Siezi ruhusu mwanaume wangu apige goti wooiiii bora tusimame wote kama minguzo ya umeme
😃😃 dunia inawatu hii,👐
 
Hivi bado kuna watu mna valishana pete za uchumba [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba

Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Anayetolewa mahari ndio apige goti
 
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba

Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
[emoji1666]uchumba ni nini & nani anaeombwa uchumba?
 
Hicho ni kitendo dhaifu sana kupiga goti kwa mwanamke, hakuna utamaduni wa ki africa unaoruhusu ujinga wa namna hiyo, Mwanamke kuolewa ni bahati inabidi ai nyenyekee, huwezi toa mahari na bado ukapiga magoti.
 
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba

Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Siwezi kupiga goti na hata wanaopiga hua wanataka wawe karibu na kei waiambie kinaga ubaga ni namna gani wanaenda kuinyoosha huyu mwenye nayo akiridhia hili ombi
 
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba

Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Not in African and pengine Tanzania,

Ndo maana inakuja barua, unatolewa mahari kabisa so probably hauombwi maaana unakua tayari ulishakubali hilo na hapo ni mnamalizia tu kuuonesha uma, na ndo maaana huwezi kutana na ‘she said no’

Wenzetu wanapiga goti to ask coz kunaweza kuwa na it’s either ‘yes’ or ‘no’
 
Kiukweli mimi sitaki mwanaume aje anipigie goti, naona kwa maadili yetu mdada ndiye anatakiwa kupiga goti bana
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba

Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'

you are very right. issue ya mwanaume kupiga goti ni sahihi?
 
Not in African and pengine Tanzania,

Ndo maana inakuja barua, unatolewa mahari kabisa so probably hauombwi maaana unakua tayari ulishakubali hilo na hapo ni mnamalizia tu kuuonesha uma, na ndo maaana huwezi kutana na ‘she said no’

Wenzetu wanapiga goti to ask coz kunaweza kuwa na it’s either ‘yes’ or ‘no’
safi sana! Hamuombani bali mnatangaza

Joanah
 
Hk ileje,Tukuyu na kyela tunatongozana kwa hekma
FB_IMG_16869037293101384.jpg
 
Hizo ni style za mashoga.

Unampigiaje mwanamke magoti labda kama ana bikra maana utakuwa unamuomba akupe hiyo zawadi lakini bikra hana inabidi apige yeye magoti kukushukuru kwa kukubali kumchukua akiwa lapulapu.
 
Makanisani na majumbani huwa mwanamke anapiga magoti sio goti.

Ila ukimvishia kwa wajanja ndo naonaga anapiga wakiume
 
Sijyi kwanini nyie maamuma chochote kikiwa kibaya na cha hovyo mnakihusisha na ukristo. Acha ujinga wako wewe. Juzi tu Juma Kitinku kapiga goti na kulia mbele za mwanamke hapa Sinza. Usipende kugeneralize na kusingizia dini za wenzio mambo ya hovyo.

Hiyo suala halihusiani na dini ila linahusiama na ujana na utandawazi. Vijana wengi wa sasa hawajitambui na wanaigiza maisha ya mapenzi wanayoyaona kwenye TV na ndio maana mwisho wa siku wanalalamika kuhusu ndoa zao kutokudumu. Hakuna sehemu kwenye Ukristo imeandikwa hivyo au inayowataka wanaume kupiga magoti wakati wa kuvalishana pete. Ni tujamaa twa sasa tu na kuigiza maisha.
Huyu mtu anayejiita Covax asikusumbue akili huyu ni aina ya wanadini wa hovyo waliorithishwa dini wakiamini kwao kitu kinachoitwa dhambi au udhaifu kwenye hiyo dini yao havipo.

HUYU ANAONGOZWA NA UPUMBAVU!!!
 
Hizo ni style za mashoga.

Unampigiaje mwanamke magoti labda kama ana bikra maana utakuwa unamuomba akupe hiyo zawadi lakini bikra hana inabidi apige yeye magoti kukushukuru kwa kukubali kumchukua akiwa lapulapu.
Duuh lapulapu mkuu🤔 wewe utakua hujalapua watu pia?
 
Back
Top Bottom