Umenena vyemaKiuhalisia mwanaume ndio anatakiwa kupigiwa goti. Kwa tamaduni za kiafrika magoti anapiga mwanamke.
Tusisahau tamaduni zetu wapendwa,na ukishaanza mpigia magoti mwanamke,moja kwa moja umempa mamlaka juu yako.
Hakuna lazima mwanaume apige goti kumvisha mchumba wake mtarajiwa Pete .Kiuhalisia mwanaume ndio anatakiwa kupigiwa goti. Kwa tamaduni za kiafrika magoti anapiga mwanamke.
Tusisahau tamaduni zetu wapendwa,na ukishaanza mpigia magoti mwanamke,moja kwa moja umempa mamlaka juu yako.
Demi mpenzi wangu, this is good! Itβs only one day event! Hii safi sana kwa mama mkweUpuuzi mwingine huu hapa. Binti yangu akifanya hivi nanyanyuka naenda kumdunda mangumi na sherehe itakuwa imeishia hapo
View attachment 2444981
Hakuna ulazima yoyote yule kupiga goti. Halafu huo ni utamaduni wa wazungu sie hatuna utaratibu huo tumeigaHakuna lazima mwanaume apige goti kumvisha mchumba wake mtarajiwa Pete .
Mengine yatafuata .
Ndoa ikishafungwa wote wataplay part yakupendana kujaliana na kupendana
Yes, tumeiga kabisa ila mi napenda anipigie goti .Hakuna ulazima yoyote yule kupiga goti. Halafu huo ni utamaduni wa wazungu sie hatuna utaratibu huo tumeiga
Ina make sense mwanaume akipiga goti maana yeye ndo anakuomba uwe mke wake.Yes, tumeiga kabisa ila mi napenda anipigie goti .
NakaziaMbwembwe tuπ
Inategemea culture na culture! Kuna culture kama niliona waganda wakati wa Obote ndivyo walikuwa wanampa Zawadi awe me au keKutembea kwa magoti ndo heshima??? Hapana kwa kweli. Nasema tena hapana...binti yangu hatafanya hivi tena mbele za watu. Naharibu hiyo sherehe watajua hawajui
Hizo culture ndo sizipendi. Watu waheshimiane kikawaida sio kitumwaInategemea culture na culture! Kuna culture kama niliona waganda wakati wa Obote ndivyo walikuwa wanampa Zawadi awe me au ke
Basi muoe huyo mwanao πππKutembea kwa magoti ndo heshima??? Hapana kwa kweli. Nasema tena hapana...binti yangu hatafanya hivi tena mbele za watu. Naharibu hiyo sherehe watajua hawajui
Kwanza kwa anavyojitambua huu upuuzi hatafanya. Ataolewa vizuri tuBasi muoe huyo mwanao πππ