😃😃 dunia inawatu hii,👐We mtoto wa kiume muache mkeo mtarajiwa ndo apige goti then kimahaba unaweza muinua ndo umveshe
Siezi ruhusu mwanaume wangu apige goti wooiiii bora tusimame wote kama minguzo ya umeme
Wa kutosha😃😃 dunia inawatu hii,👐
Anayetolewa mahari ndio apige gotiMwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba
Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
[emoji1666]uchumba ni nini & nani anaeombwa uchumba?Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba
Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Siwezi kupiga goti na hata wanaopiga hua wanataka wawe karibu na kei waiambie kinaga ubaga ni namna gani wanaenda kuinyoosha huyu mwenye nayo akiridhia hili ombiMwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba
Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Not in African and pengine Tanzania,Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba
Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba
Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
safi sana! Hamuombani bali mnatangazaNot in African and pengine Tanzania,
Ndo maana inakuja barua, unatolewa mahari kabisa so probably hauombwi maaana unakua tayari ulishakubali hilo na hapo ni mnamalizia tu kuuonesha uma, na ndo maaana huwezi kutana na ‘she said no’
Wenzetu wanapiga goti to ask coz kunaweza kuwa na it’s either ‘yes’ or ‘no’
sasa she is right for what?you are very right. issue ya mwanaume kupiga goti ni sahihi?
EwaaaaaaKiukweli mimi sitaki mwanaume aje anipigie goti, naona kwa maadili yetu mdada ndiye anatakiwa kupiga goti bana
Huyu mtu anayejiita Covax asikusumbue akili huyu ni aina ya wanadini wa hovyo waliorithishwa dini wakiamini kwao kitu kinachoitwa dhambi au udhaifu kwenye hiyo dini yao havipo.Sijyi kwanini nyie maamuma chochote kikiwa kibaya na cha hovyo mnakihusisha na ukristo. Acha ujinga wako wewe. Juzi tu Juma Kitinku kapiga goti na kulia mbele za mwanamke hapa Sinza. Usipende kugeneralize na kusingizia dini za wenzio mambo ya hovyo.
Hiyo suala halihusiani na dini ila linahusiama na ujana na utandawazi. Vijana wengi wa sasa hawajitambui na wanaigiza maisha ya mapenzi wanayoyaona kwenye TV na ndio maana mwisho wa siku wanalalamika kuhusu ndoa zao kutokudumu. Hakuna sehemu kwenye Ukristo imeandikwa hivyo au inayowataka wanaume kupiga magoti wakati wa kuvalishana pete. Ni tujamaa twa sasa tu na kuigiza maisha.
Hapo sasasasa mkuu ata mke wako siatakuwa analiwa vile vile.
Duuh lapulapu mkuu🤔 wewe utakua hujalapua watu pia?Hizo ni style za mashoga.
Unampigiaje mwanamke magoti labda kama ana bikra maana utakuwa unamuomba akupe hiyo zawadi lakini bikra hana inabidi apige yeye magoti kukushukuru kwa kukubali kumchukua akiwa lapulapu.