[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kwelii.We mtoto wa kiume muache mkeo mtarajiwa ndo apige goti then kimahaba unaweza muinua ndo umveshe
Siezi ruhusu mwanaume wangu apige goti wooiiii bora tusimame wote kama minguzo ya umeme
Japo uko sahihi, ila watakupinga.Mwanaume anatakiwa kupiga goti kwasababu yeye ndio kaenda kuomba uchumba
Logically anayeomba ndiye anayetakiwa kupiga goti...ndio maana wanasemaga 'she said yes'
kuna mahali nimeona wanasema ni umama kwamba unanyenyekea mwanamke.Piga goti ule mbosousou usikaze shingo kijana 😃
Umama wakati unaenda kula mbosousou 😃kuna mahali nimeona wanasema ni umama kwamba unanyenyekea mwanamke.
sijui imekaaje
funguka tuyani hata naona uvivu kujibu hili swali, yani mwanaume unauliza ati "kumpigia magoti mwanamke" ni sawa au sio sawa !?? Aaah qmmae nahisi ubongo unaganda, fuc*k am out of here.
Eeeh🤣Nipige ili?
Kimsingi hata mahari ilibid walipe wao[emoji23]
Si nabeba majukumu yao
Eeeh[emoji1787]
Upuuzi mwingine huu hapa. Binti yangu akifanya hivi nanyanyuka naenda kumdunda mangumi na sherehe itakuwa imeishia hapo
View attachment 2444981
Duh! Kwahiyo mwanamke yeye hana shida na mume, yani yupo yupo tu kama mti.Ina make sense mwanaume akipiga goti maana yeye ndo anakuomba uwe mke wake.
Kama unamlea wewe mwenyewe wala hatushangai, wameshapigiwa kelele sana tu humu.Kwanza kwa anavyojitambua huu upuuzi hatafanya. Ataolewa vizuri tu
Mwanamke anahitaji ndoa. Lakini ndoa huombwa na mwanaume tena kwa unyenyekevu halafu baada ya hapo ni kazi ya mke kumtii mume wake ambaye anampenda.Duh! Kwahiyo mwanamke yeye hana shida na mume, yani yupo yupo tu kama mti.
Atajua hajui😀Unamuwasha kofi moja matata sana, tumbafu!
N A K A Z I A [emoji419][emoji375]Wanao piga magoti wengi wana vibamia wanaomba nao wakubaliwe na vibamia vyao[emoji1787][emoji1787]