Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Alihisi vyema. Nilivyo ona CDF hayupo alafu wakuu wengine wapo kama DG TISS , IGP etc na yeye yupo [emoji846][emoji846][emoji846] acha mambo yaanze
Huyo hakuwa yeye mkuu, MEJA Jenerali tangu lini akawa na NYOTA 3 MABEGANI?? Mwangalie kwa umakini utagundua huyo alikuwa LUTENI JENERALI.
 
Ha ha mmepiga chini wote wote
 
Una akili timamu? Unajua hiyo picha ilipigwa wapi na lini? Umezoom vizuri hiyo picha ama unekurupuka tu kuandika kutafuta kiki?
Nimeizoom na nimeiona, angalia mabegani hapo Tangu Lini MKUNDA alikuwa LUTENI JENERALI mwehu wewe??
 
Wote waliotajwa ktk uzi huu wameangukia pua
 
Umepatia hongera
 
President kama aliiona post yako vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…