Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Ni rahisi kumkuta TISS ndani ya majeshi mengine ila sio rahisi kuwakuta idara nyingine ndani ya TISS (under covers). Yaani hata kwenye hiz thread zetu huwa tunao wana comment, kuna siku nikiamka vizuri nitawataja hapa.
 
Ni rahisi kumkuta TISS ndani ya majeshi mengine ila sio rahisi kuwa kuwakuta idara nyingine ndani ya TISS (under covers). Yaani hata kwenye hiz thread zetu huwa tunao wana comment, kuna siku nikiamka vizuri nitawataja hapa.
Ipo hivyo kutokana na miongozo ya kazi na sheria zinavyo waongoza kufanya kazi zao, kuwa hivyo haimaanishi wapo above ya wengine au taasisi zingine. Taasisi ni viungo vinavyohitajina kufanya kazi pamoja.
 
Majina yote uliyotaja. Hakuna hata moja ulikaribia kupatia
 
Achana na hao ,sijui kina nani vile

Yupo mtu mmoja tuu hapa

Anaitwa KIBORI NANGAI
NI mtu safi sana mwenye weledi, mwenye uadilifu uliotukuka ,asiye na makuu

Yeye kazi tuu.

Type ya Akina Ndugu yake Mabeyoo
Mkuu samahani lakini Hilo Jina Nangai mbona kama ndigu Zale kule jimbo la Kivu?
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
🤣🤣🤣having vyeo wanapewa baada ya mafunzo fulani au Rais anampa anayemtaka tu?
 
Mkuu samahani lakini Hilo Jina Nangai mbona kama ndigu Zale kule jimbo la Kivu?
Hapana mkuu hili jina asili yake ni kule Wanakohamishwa makazi Yao kuja makazi mapya Mkuuu ,

Onyo mimi sio muhamiaji haramu nimezaliwa huko mkuuu
 
Hapana mkuu hili jina asili yake ni kule Wanakohamishwa makazi Yao kuja makazi mapya Mkuuu ,

Onyo mimi sio muhamiaji haramu nimezaliwa huko mkuuu
Nashangaa watu wambebashiri wakamsahau Generali Ulimwengu.
 
Huyu aliitea hongera sana ulimtaja CDF Mkunda
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Vp protokali za kijeshi zimekaaje hapo? Hujui kitu
 
Ni rahisi kumkuta TISS ndani ya majeshi mengine ila sio rahisi kuwakuta idara nyingine ndani ya TISS (under covers). Yaani hata kwenye hiz thread zetu huwa tunao wana comment, kuna siku nikiamka vizuri nitawataja hapa.
afisa uchaguzi
 
Daaah! Una rada za 7G[emoji123]
 
Mkuu, wewe ndio umepatia sasa katika utabiri wako! Hongera sana! [emoji1][emoji1][emoji106][emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…