Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Bashite
 
Raisi anachaguliwa na wananchi, wengine wanakuwa maraisi hata elimu kuhusu jeshi hawana. Leo anatokea tu anajichagulia CDF eti????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Narudia tena kusema Jeshi sio CWT wala bodi ya Korosho
Mbona Trump alitoka uko kwenye business na kuwa powerful man in the world [emoji2]
 
Mi nashauri apewe makonda Mana hiyo kazi anaiweza kwa kuwa Ni field mashal
 
Achana na hao ,sijui kina nani vile

Yupo mtu mmoja tuu hapa

Anaitwa KIBORI NANGAI
NI mtu safi sana mwenye weledi, mwenye uadilifu uliotukuka ,asiye na makuu

Yeye kazi tuu.

Type ya Akina Ndugu yake Mabeyoo
 
JKT kwa mujibu wa sheria😀😀😀😀sawa mzalendo
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…