Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Kwamba brigedia jenerali anaweza kuteuliwa kuwa CDF halafu hao ma meja na luteni jenerali wanakuwa bado jeshini au watapelekwa majukumu nje ya jeshi?
Kikanuni lazima wawe wamepita jkt..
kama wamefika huko na hawakupita jkt hawana sifa ya kua cdf...
Hivyo wa chini yao.aliepita jkt ataweza kupandishwa mfulilizo hadi kwenye levo yao...na atapewa cdf..
Sio lahisi kwa sasa..wangetaka hivyo wangefanya mchezo huo toka mwaka wa jana.
Lazima kwenye hiyo timu ya maluten jeneral yupo aliepita jkt..watapeleka majina ma3 yatachambuliwa...atasimikwa mmoja wao.
 
Mimi napenda ile staili ya Ben Mkapa(rip) yeye aliteua mtu wa kukaa nae miaka zaidi ya 8 na kuendelea,masuala ya unateua mtu halafu ndani ya miaka 2 anateuliwa mwengine ni natumizi mabaya ya kodi za nchi kwani myeuliwa wa hizo post uhudumiwa na serikali mpaka kifo chake.
 
Kaeni mkijua, anaweza teuliwa luteni jenerali mwingine kisha akapandishwa kuwa CDF. Kipindi cha JK kuna time jeshi lilikuwa na serving 3 Liutenant generals at the same time.

Pia more likely, atatoka inteligence ya Jeshi. As kwa trend CDF wawili waliopita, walitokea huko.

Pia anaweza kumuupgrade Liutenant General aliyepo sasa.
 
Mbuge akurukisha alipewa brigedia general alafu akapewa meja general kuwa makini na jeshi ni Siri hao wote awawezi kutejliwa ulinzi wa nchi sio kazi ya lelemama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama lazima uwe jasusi uliebobea sio kazi za kufanya ndani ya nchi kama magereza Eleweni hivyo
 
Ndio, anarukishwa kama ilivyofanyika kwa Mbuge kutoka Kanali hadi meja general.
Kijana acha uongo

Mbuge hakurukishwa alishawahi brigedia

Tena alivishwa cheo mbele ya mkutano na mzila kende

Ila umeja jenerali alishwa vyeo na mabeyo ofisini kwake dodoma.
 
Hapana mkuu, Mnadhimu aliyekuwepo alistaafishwa tena nadhani ni Mwakibolwa na Mabeyo akateuliwa kuwa Mnadhimu mwezi Novemba 2016 na February 2017 akawa CDF
Mabeyo na mwakibolwa walikula viapo siku moja

Mabeyo akiwa CDF na mwakibolwa akiwa COS.

sema mwakibolwa alistaafu mapema sababu ya umri ndio COS mohamed
 
Hapo juu Kuna mtu anasema alimuandaa yakubu, huyo anasema alimuandaa gaguti, wewe unasema mbuge. Kwa hiyo CDF wangekuwa watatu?

Yoyote anafaa tu
Huyo aliyesema Gaguti sijui hata kaambiwa na nani

Yakub hakuwa anaandaliwa bali alikuwa wa Mpito tu

Mbuge ndiyo alikuwa anaandaliwa awe CDF 2025
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Yes, imeshatokea mara nyingi. Tena zaidi sana. CDF wengi wanapandishwa vyeo gazi kadhaa na kuteuliwa. Ingekuwa inafuatwa seniority hata kuuana kungetokea.
 
Back
Top Bottom