Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 516
- 144
Umenena ya kweliKama ikitokea Jenerali Mabeyo akaomba kupumzika basi mamlaka za uteuzi imwangalie Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed kama Jenerali mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena ya kweliKama ikitokea Jenerali Mabeyo akaomba kupumzika basi mamlaka za uteuzi imwangalie Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed kama Jenerali mpya
Meja Jenerali Suleiman Mzee kigezo cha umri kinaweza kuwa tatizo kwake. Naomba kuwasilishaKufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi wake katika kuchapa kazi.
Mimi nampa nafasi kubwa Luteni Jenerali Mathew Mkingule kuwa CDF mpya.
Lakini pia kwenye korido anatajwa Luteni Jenerali Yakubu Mohamed balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
Japo pia mzee wa infantry, Meja Jenerali Mwaisaka anapigiwa chapuo.
Vilevile, Meja Jenerali Rajab Mabele naye anaweza akawa CDF mzuri tu kwa utendaji wake mzuri wa kazi huko JKT.
Japo pia kuna minong'ono kuhusu Meja Jenerali Suleimani Mzee kufatia kazi ya kutukuka huko Magereza.
Ila watu wasimua-underrate Meja Jenerali Mbuge lolote linaweza kutokea. Japo kwasasa ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Brigedia Jenerali J.J. Mwaseba mkuu wa chuo cha TMA naye anatajwa japo atakuwa yupo nyuma sana kwa rank kulinganisha na hao wenzake.
NB:
Uzi huu haumlengi kumpigia mtu yoyote promo!!
Viva JWTZ
Viva Tanzania
Abdulrahaman KinanaKufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi wake katika kuchapa kazi.
Mimi nampa nafasi kubwa Luteni Jenerali Mathew Mkingule kuwa CDF mpya.
Lakini pia kwenye korido anatajwa Luteni Jenerali Yakubu Mohamed balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
Japo pia mzee wa infantry, Meja Jenerali Mwaisaka anapigiwa chapuo.
Vilevile, Meja Jenerali Rajab Mabele naye anaweza akawa CDF mzuri tu kwa utendaji wake mzuri wa kazi huko JKT.
Japo pia kuna minong'ono kuhusu Meja Jenerali Suleimani Mzee kufatia kazi ya kutukuka huko Magereza.
Ila watu wasimua-underrate Meja Jenerali Mbuge lolote linaweza kutokea. Japo kwasasa ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Brigedia Jenerali J.J. Mwaseba mkuu wa chuo cha TMA naye anatajwa japo atakuwa yupo nyuma sana kwa rank kulinganisha na hao wenzake.
NB:
Uzi huu haumlengi kumpigia mtu yoyote promo!!
Viva JWTZ
Viva Tanzania
Kingai hatajwi tajwi? Huyu ni mzalendo wa kweli,ndo aliyechelewesha kupatikana katiba mpya ambayo sisi ccm hatuihitaji.Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi wake katika kuchapa kazi.
Mimi nampa nafasi kubwa Luteni Jenerali Mathew Mkingule kuwa CDF mpya.
Lakini pia kwenye korido anatajwa Luteni Jenerali Yakubu Mohamed balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
Japo pia mzee wa infantry, Meja Jenerali Mwaisaka anapigiwa chapuo.
Vilevile, Meja Jenerali Rajab Mabele naye anaweza akawa CDF mzuri tu kwa utendaji wake mzuri wa kazi huko JKT.
Japo pia kuna minong'ono kuhusu Meja Jenerali Suleimani Mzee kufatia kazi ya kutukuka huko Magereza.
Ila watu wasimua-underrate Meja Jenerali Mbuge lolote linaweza kutokea. Japo kwasasa ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Brigedia Jenerali J.J. Mwaseba mkuu wa chuo cha TMA naye anatajwa japo atakuwa yupo nyuma sana kwa rank kulinganisha na hao wenzake.
NB:
InUzi huu haumlengi kumpigia mtu yoyote promo!!
Viva JWTZ
Viva Tanzania
mwamnyange nae nadhani aliteuliwa akiwa mdogo sana kiumri, maana amestaafu akiwa na miaka 58, yani mabeyo wakati anateuliwa alikua mkubwa kiumri kuliko mwamnyange anaestaafu au tuseme alistaafishwa sijui.....Mimi napenda ile staili ya Ben Mkapa(rip) yeye aliteua mtu wa kukaa nae miaka zaidi ya 8 na kuendelea,masuala ya unateua mtu halafu ndani ya miaka 2 anateuliwa mwengine ni natumizi mabaya ya kodi za nchi kwani myeuliwa wa hizo post uhudumiwa na serikali mpaka kifo chake.
aisee umewaza kama mimi...kuna wakati nilihisi JPM anamuandaa Mbuge kuwa CDF..maana alipanda vyeo kwa haraka sana..kutoka CO wa 832kJ mpaka ukuu wa JKT ndani ya miezi 13Hapo kwa Mbuge kama Jiwe angeendelea kuwa hai jamaa sasa hivi angekuwa Luteni Jenerali na pengine CDF mpya
Huyu bado sio jenerali. Labda Sabaya, yeye tayari ni jenerali.Bashite
😂😂😂Hahaha, basi kama vipi apewe Luteni Karama
Tuwekee hiyo sheria mkuu ili wote tujue uteuzi wa cdfSheria inatamka mmoja wa majenerali. Anaweza kutokea kaunzia Brigedia, Meja, au Luten Jenerali.
Ingekuwa hivyo WANGEUANA SANA kisa hiko cheo, na ndio maana sheria inataka kuteua kati ya hao MAJENERALI, hakusema Lazima awe luten Jenerali.
Usikariri, uchaguzi wa Jenerali unazingatia vitu vingi ikiwemo umri wa kuweza kuhudumu kazi hiyo, mrengo wake kwenye utawala ( Mpole, au Mtu wa kutumia nguvu nk).
Nishani alizonazo, uzoefu katika kuongoza watu.
Sio kama unavyochukulia wewe.
Mbunifu (mchongaji) wa kesi ya ugaidi?Vipi akipewa Luteni Urio,ni mbunifu na mzalendo wa kiwango cha hali ya juu sana.
Sergeant anaweza kuteuliwa kuwa cdf?Yes, imeshatokea mara nyingi. Tena zaidi sana. CDF wengi wanapandishwa vyeo gazi kadhaa na kuteuliwa. Ingekuwa inafuatwa seniority hata kuuana kungetokea.
Sababu tu ya ukabilaWakati wa jiwe aliachwa MNADHIMU akapewa MABEYO
Luteni Jenerali Mathew Mkingule ni Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa 14 tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 21 Agosti, 2021.Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.