CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Lt Gen wako wawili mkuuLt Gen huwa 1 ....labda itoke tu ...Maj Gen wako kama 12 hivi kwa uchache.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lt Gen wako wawili mkuuLt Gen huwa 1 ....labda itoke tu ...Maj Gen wako kama 12 hivi kwa uchache.....
Luteni, Meja, Brigedia (Jenerali).
Hivi anaweza kuteuliwa mtu ambaye sio rank ya Luteni Jenerali direct akawapita walio juu yake?
Mbuge Hakuruka cheo kutoka Kanali kuwa Meja Jenerali bali alipandishwa kuwa Brigedia Jenerali kwa kipindi kama mwaka na nusu kabla hajapandishwa tena kuwa Meja JeneraliNdio, anarukishwa kama ilivyofanyika kwa Mbuge kutoka Kanali hadi meja general.
CDF mpya ni Mkingule !! Period!!Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi wake katika kuchapa kazi.
Mimi nampa nafasi kubwa Luteni Jenerali Mathew Mkingule kuwa CDF mpya.
Lakini pia kwenye korido anatajwa Luteni Jenerali Yakubu Mohamed balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
Japo pia mzee wa infantry, Meja Jenerali Mwaisaka anapigiwa chapuo.
Vilevile, Meja Jenerali Rajab Mabele naye anaweza akawa CDF mzuri tu kwa utendaji wake mzuri wa kazi huko JKT.
Japo pia kuna minong'ono kuhusu Meja Jenerali Suleimani Mzee kufatia kazi ya kutukuka huko Magereza.
Ila watu wasimua-underrate Meja Jenerali Mbuge lolote linaweza kutokea. Japo kwasasa ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Brigedia Jenerali J.J. Mwaseba mkuu wa chuo cha TMA naye anatajwa japo atakuwa yupo nyuma sana kwa rank kulinganisha na hao wenzake.
NB:
Uzi huu haumlengi kumpigia mtu yoyote promo!!
Viva JWTZ
Viva Tanzania
Mbuge shule hana yule, amejaa fitina tu kuwafitini maboss wake. Huyo kichwani ni bure kabisa hamna kitu vyeo alipandishwa kiva hayo tu, amshukuru sana Paul Makonda aliekuwa anampigia chapuo kwa mwendazakeMbuge Hakuruka cheo kutoka Kanali kuwa Meja Jenerali bali alipandishwa kuwa Brigedia Jenerali kwa kipindi kama mwaka na nusu kabla hajapandishwa tena kuwa Meja Jenerali
Kabisa kuna uwezekano mkubwaKama ikitokea Jenerali Mabeyo akaomba kupumzika basi mamlaka za uteuzi imwangalie Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed kama Jenerali mpya
Mimi sijui elimu yake, ila najua kuwa Mbuge alisimamia miradi mbalimbali ya Ujenzi iliyokuwa inafanywa na JKT kwa ufanisi mkubwa sana; ndiyo maana JPM akampandisha cheo na baadaye kumfanya kuwa mkuu wa JKT. Makonda anahusiakje kweli hakuna anayejua, ila rekodi yake inajulikana kuanzia ukuta wa Mererani hadi Ikulu ya Dodoma na kwinginekoMbuge shule hana yule, amejaa fitina tu kuwafitini maboss wake. Huyo kichwani ni bure kabisa hamna kitu vyeo alipandishwa kiva hayo tu, amshukuru sana Paul Makonda aliekuwa anampigia chapuo kwa mwendazake
mwendazake alikuwa mkabila sanaGaguti alikuwa anaandaliwa na Mwendazake sema sasahivi haiwezekani Tena.
CDF mpya ni Mkingule !! Period!!
Hivi Meja Kunta naye vipi?Hahaha, basi kama vipi apewe Luteni Karama
lieutenant general Meela, huyu alikuwa DARFUR na sasa ni balozi
hizi zote zilikuwa jitihada za kuhakikisha kiwelu hawi cdf, lakini aliacha historia, four star general ambaye hajawahi kuwa cdf..hata mimi naona ni vigumu kumruka CoS wa sasa hivi Lt.Gen.Mkingule.
..vinginevyo itabidi wateuliwe Cdf na Cos wapya.
..iliwahi kufanyika wakati wa Kiaro[cdf] na Kiwelu[cos], na Mboma[cdf] na Sayore[cos].
Jeshini kuwa cdf siyo kujenga madaraja tu bali ni elimu nzuri, weledi na ujuzi na uzoefu mkubwa wa uongozi wa kijeshi,uzalendo, uaminifu na sifa nyinginezo zilizotukuka seniority na taswira yake jeshini.Mimi sijui elimu yake, ila najua kuwa Mbuge alisimamia miradi mbalimbali ya Ujenzi iliyokuwa inafanywa na JKT kwa ufanisi mkubwa sana; ndiyo maana JPM akampandisha cheo na baadaye kumfanya kuwa mkuu wa JKT. Makonda anahusiakje kweli hakuna anayejua, ila rekodi yake inajulikana kuanzia ukuta wa Mererani hadi Ikulu ya Dodoma na kwingineko