Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

Nimependa Jana wasafi radio walivyolipambania hili swala
Kila mwenye Moyo wa upendo na Tanzania hawezi kuipenda walichofanya ccm hii.

Yaani uruhusu ACT na Ccm vijana harafu Chadema vijana uwapige Mabomu?

Labda kama Mungu wa israeli sio Mungu nakwapia atawachalaza wote waliohusika.
 
Police CCM c mmeyataka wenyewe ,,ilaa Kuna mmoja anafanya Kwa manufaa ya upande wakeee...n swala la muda tu
Labda anafanya na kundi kubwa nyuma Yao maslahi, Kwa kujua au kutokujuwa
 
just summarize in one paragraph bila migemko ndrugu mwanainchi, leo kidogo niko tyty na kazi kwaajili ya manufaa yenu πŸ’
 
Kumbe kweli jina lako linasadifu ulivyo ,mashirika ya habari ndiyo yanalipa kupata habari, tena wewe umepitiliza siyo mjinga tu bali ni mpumbavu kabisa
Kuna habari ngapi sensitive za Tanzania zilizorishwa na vyombo vya magharibi??
 
Rostam tunamdai uwanja wetu wa ndege Mwanza,aujenge aache danadana. Hafai,atamharibia mama 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…