Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

Nimependa Jana wasafi radio walivyolipambania hili swala
Kila mwenye Moyo wa upendo na Tanzania hawezi kuipenda walichofanya ccm hii.

Yaani uruhusu ACT na Ccm vijana harafu Chadema vijana uwapige Mabomu?

Labda kama Mungu wa israeli sio Mungu nakwapia atawachalaza wote waliohusika.
 
Police CCM c mmeyataka wenyewe ,,ilaa Kuna mmoja anafanya Kwa manufaa ya upande wakeee...n swala la muda tu
Labda anafanya na kundi kubwa nyuma Yao maslahi, Kwa kujua au kutokujuwa
 
Unamanisha nini?
Au unadhihirisha ule usemi wa Mwalimu Nyerere kuwa Ujinga nao ni kipaji kama urefu na ufupi?
Au unataka kufanya actual manifestation ya maadui wa taifa hili katika karne hii ya 21 kwamba ni ujinga miongoni mwa maradhi na umaskini? Au tuamini kwa usahihi kwamba Africa needs to be colonized again? Maswali haya yanatokana na dhana ambayo imejengenga kipropaganda kwamba ni halali kwa wanaccm kujitokeza katika shughuli halali za chama ikiwemo mikoutano, maandamano na makongamano na kunyamazia kwamba "siasa haileti chakula mezani watu wakafanye kazi"
Linapokuja swala la vyama vya upinzani mmekua mkibainisha kwamba wananchi wasiunge mkono shughuli za chama hasa chadema mathalani mikutano na maandamano sababu Viongozi wanajifungia ndani na kuwatuma wao na hawatakuja kuwatetea watakapovunjwa miguu, bila kujibu maswali anayevunja miguu ni nani chadema au chama kinachounda serikali inayosimamia polisi! Leo viongozi wamekamtwa tena pasipo halali kibao kimewageukia wananchi na sio viongozi tena. Je huoni maswali hapo juu yanapata majibu? na kuamini kwamba mtaji wa CCM ni watatnzania walio wajinga wengi?
just summarize in one paragraph bila migemko ndrugu mwanainchi, leo kidogo niko tyty na kazi kwaajili ya manufaa yenu 🐒
 
Kumbe kweli jina lako linasadifu ulivyo ,mashirika ya habari ndiyo yanalipa kupata habari, tena wewe umepitiliza siyo mjinga tu bali ni mpumbavu kabisa
Kuna habari ngapi sensitive za Tanzania zilizorishwa na vyombo vya magharibi??
 
Habari za asubuhi wanajamvi.
Rostam Azizi amekuwa anajulikana kama "KING MAKERS "
Mitandao yote iliyowaangiza JK,na Lowasa mpaka alipokwenda CHADEMA nyuma yake ni Rostam Azizi.

Rostam Aziz amemuhakikishia Mama kuwa hakuna lolote mama atamaliza Muda wake mpaka 2030 kwa lengo la wao kuingiza mtu wao 2030.

Rostam anajinasibu kuwa na team ya chama tawala Iko upande wake ameratibu yeye mpaka Jasus kurudi Latin America na kuja kushika utendaji.

Tukumbuke pia Jasusi ni team Moja na Rostam,na Sophia Simba ambao walitengwa na mwendazake.

Team Lowasa ingalipo na inajivunia kushika uongozi wa chama na kuwadharau wastaafu ambao wanaonekana wana nguvu team msoga.
Ndo maana wamefanya fitna , Mosi kumuondoa Makonda uenezi,pili kuwaondoa Mapacha BUMBULI & MTAMA.

Kwa mbaali mabadiliko ya Jumba kuu Karibu na Saint Peter's Kanisani engineer ni huyo mbunge wa zamani Super Mogul ambaye Saa 💯 alikwenda naye ziara mbalimbali mintarafu ile ya kwa Poppe Fransisco Vatican.

Rais Samia, Rostam hana nguvu yoyote kumshinda Jakaya Mrisho kikwete.

Kikwete ni influencial figure kwa sasa ndani ya Chama na ndani ya Serikali.
Yeye mpaka sasa anakuwa the the remained most current outgoing president.

Mtindo wa kikwete ni WA kunyamaza kimyaaa kama hayupo, lakini kama tujuavyo kimyaa kina mshindo.

Jaribio la Mwisho la kuondoka kwa Kinana ni gumu kuliko mengine yote.
Kinana kwa sasa anakuwa mmoja ya watu ambao wanajua serikali vizuri na chama vizuri,ameshika nafasi nyeti wakati wa wa Marais wote, Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete, na wewe Mwenyewe.

Kinana sio mtu kuwa dumped kwa mtindo wa Job Yustin Ndugai.
Unahitaji zaidi mshikamano, kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu mwakani.

Rostam Azizi kwa Wakati huu hana lolote hana nguvu, ukumbuke this time (MABAKAMABAKA) na baadhi ya taasisi zinaenda kuwa neutral.
Wanasubiri wakati sahihi, ili wa sett tone sahihi.
Kama opossition watashinda ubunge na Urais itabaki kuwa hivyo no changes hakuna kubebwa mtu

Hawaridhiki na minada ya maliasili na rasilimali za Tanganyika kuuzwa kwa wajomba.
Kuwa makini na huyo Raia wa Tanzania/Iran.
ambaye watanzania hawamjui wala kumuona direct akishiriki siasa, lakini ndiye anayepiga NGOMA inayochezwa sasa nchini.

Nandagala one, kwa sasa Safarini Ukerewe.
Rostam tunamdai uwanja wetu wa ndege Mwanza,aujenge aache danadana. Hafai,atamharibia mama 2025
 
Back
Top Bottom