Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Masista Wakatoliki wanaishi makanisani kwao, itapendeza na wavaa hijabu/burqa/niqab wakawa wanaishi misikitini badala ya ofisi za umma.
Mi napenda wakivaa zile ubaya, nzuri sana.
 
Hili la 2030 usiwe na shaka nalo; Samia ni mhalifu, na kama walivyo wahalifu wote ni lazima awajibishwe kabla ya hiyo 2030 unayozungumzia wewe.
Kwa mtindo huu wa vijiuzushiuzushi tu, hak ya Mungu tukutane 2030.
 
Kwa mtindo huu wa vijiuzushiuzushi tu, hak ya Mungu tukutane 2030.
Unajuwa "uzushi" ni nini?

Wewe hujui kuwa Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayetakiwa kuwajibishwa kwa uhalifu wake?

Hiyo 2030 unayoiota wewe haipo. Samia mhalifu hawezi kuachwa aendeleze uhalifu wake.
 
Unajuwa "uzushi" ni nini?

Wewe hujui kuwa Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayetakiwa kuwajibishwa kwa uhalifu wake?

Hiyo 2030 unayoiota wewe haipo. Samia mhalifu hawezi kuachwa aendeleze uhalifu wake.
Sawa, jitahidini basi asifike hiyo 2030 ili tuikomboe nchi yetu
 
Ahsa mzigiro ni muislamu na amesha kuwa mzee. Kwa hivyo kaamua kurudi kwa mungu wake.
Na hiyo ni imani yake sio kalazimishwa.
Asha ni msomi zaidi ya Samia.
kama nchi nyingine wanamtumikia Raisi ni wasomi kushinda Raisi.
 
Watu nimeongelea imani? Nimeuliza nani anamlazimisha.. Sijaulizankuhusu dini na imani yake kwani naijua
 
Hapa ndio tunajua fijra za Watanzania , jambo kama hili mtu analeta mjadala halafu unategemea maendeleo kwa mindset kama hizi viongozi wanafurahi kuona bado mmekuwa mazuzu ?
Mimi nikiona mtu yoyote analeta Udini huwa napenda kukaa nae mbali sana tuwakosoe viongozi wa serikali kwa uwezo wao katika utendaji wa kazi lakini sio dini wala kabila
 
Huyo alishakuwa Katibu Mkuu UN hawezi kuwa na njaa, sijui kwanini kakubali huo utopolo wa Mbogamboga. Na hasikiki akibwabwaja ujinga ujinga kama Madelu, nk
Hajawai kua katibu mkuu wa UN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…