Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Kumbe ndio maana anataka kutema bungo
 
Hatimae kawa mzee.. nilimpenda tangu zamani sana kipindi akiwa kwenye baraza la mawaziri wa Hayati B W. Mkapa
 
Wamekuwa misukule ya bimsumi
 
Ila sema huyu demu alikuwa kisu balaa

Ila Baada ya kujishikiza na kuni mbichi za kijani uso unapauka haraka sana 🀭
 
Mwanaume suruali anapokosa hoja hukimbilia hoja mfu!Kuvaa avae Asha Migiro kukereka ukereke wewe.Kukosa kazi na kuingilia maisha ya watu hakujawahi kumuacha mjinga yeyote anayejaribu huo ujinga.
 
Mnataftiza tu maneno. Lkn sidhani kama itasaidia kumtoa Samia before 2030
 
Reactions: Tui
Itakuwa hivi sasa ashamtambua Yesu, zamani alikua mbali na YESU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…