Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Kuna taarifa kuwa FaizaFoxy amekwenda kujilipua Nigeria baada ya kufuzu kozi za kigaidi kule Yemen.
 
Huwa nashindwa kukumbuka majina ya waandika nyuzi mbalimbali,ila jamii intelligence Kuna mada nyingine ziko deep Sana...
 
Kuna member wapo vizuri ila ni kwenye comments zao na sio kwa kuanzisha nyuzi,sio kila memeber hua yupo interested kuanzisha thd bali wengine hua na michango mizuri kwenye comments zao,
So,bila shaka hilo nalo ungelijumuisha kwenye thd yako kama unaona ni sahihi mkuu,

Binafsi napenda sana comments za KikulachoChako huyu jamaa hua anaenda kwa fact na kwa ushauri mzuri kwa muhusika.
Nitarudi kutaja wengine.
 
You're right
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534]
 
Mshana Jr, ugumu wangu , controlla , deepond ,bujibuji nyanaume, na yericko nyerere japo yeye kwa baadhi ya mada zingine nakinzana naye
 
Yule Infantry Soldier watu walimsifia basi akajikuta The Bold, kakimbilia huko kafungua blog uchwara sasa analialia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…