Mbona unakiuka kauli za viongozi wako? Lowassa na mbowe wanasema ccm haikushinda.Watanzania ccm sijui imeturogaje yani kuhusu swala la kumbukumbu hatuna kabisa. Mfano kuna mchezaji kumbukumbu ya kupigwa kadi tatu mpaka leo imekuwa kitendawili? Maisha chini ya serekali ya ccm ni magumu ila siku ya kupiga kura watu watapotezaa kumbukumbu ya njaa wataipa kura ccm tena dah!
Mtoto kama ni matusi kamwambie bi mkubwa wako. Hivi wewe kama si utoto ni nini. Ushinde kuamini nyalaka iliyotolewa na katibu kiongozi Ikulu ya nchi yako. Ukaenda kuamini maelezo ya mpumbavu mmoja jf. Jamani tendeeni haki akili zenu hata mbwa hawezi kudanganywa kama wewe.Sijakupangia cha kuamini, halafu uwe na adabu...akafi ka ndope..
Hilo hata mwl.nyerere mwenyewe alikiri kabisa kwamba hajui chanzo cha jina hilo.Kama hatuna kumbukumbu za miaka ya hivi karibuni je tutaweza kujua aliyebuni jina la tanganyika!?
Kikosi cha Arsenal mwaka 1995 ni juzi tu, waliopoteza kumbukumbu mi waliokuwepo mwaka 1960 ambao huwezi kuwalaumu umri umepindukia .tunasikitisha ila ni rahisi kwa mtanzania kukutajia listi nzima ya kikosi cha Arsenal mwaka 1995.
Rais ndiye alipaswa kuweka kumbukumbu hii??? Hebu fikiria vizuri aisee... Nadhani wazazi wako wangekuwa wameelimika wangekuwa msaada mkubwa pia na kuliona hili... Kiasi kwamba, leo usingekuwa wafikiria haya!
Ni punguani tu ambaye hutegemea matusi na kashfa kujenga hoja zake. Kuna wajinga kama wewe waliamini serikali haikosei wakapitisha sheria zilizoruhusu mikataba hatari kabisa kwa uchumi wa taifa. Wenzao walipowakosoa Nao walijinasibu vivo hivyo kuwa mnadhani ninyi mna akili na mnajua kuliko serikali. Leo yako wapi?Mtoto kama ni matusi kamwambie bi mkubwa wako. Hivi wewe kama si utoto ni nini. Ushinde kuamini nyalaka iliyotolewa na katibu kiongozi Ikulu ya nchi yako. Ukaenda kuamini maelezo ya mpumbavu mmoja jf. Jamani tendeeni haki akili zenu hata mbwa hawezi kudanganywa kama wewe.
Kukosea na kupatia ni relative terms kwa hiyo si kitu cha kuniumiza kichwa. Kwa kuwa wengi wanaiunga mkono serikali ni wazi kuwa wengi wanaona hakuna makosa yaliyofanyika kwenye mikataba na sheria. Tatizo lililopo ni kwa wasimamizi kukosa uthubutu kusimamia mali ya umma kama wenye mali.Ni punguani tu ambaye hutegemea matusi na kashfa kujenga hoja zake. Kuna wajinga kama wewe waliamini serikali haikosei wakapitisha sheria zilizoruhusu mikataba hatari kabisa kwa uchumi wa taifa. Wenzao walipowakosoa Nao walijinasibu vivo hivyo kuwa mnadhani ninyi mna akili na mnajua kuliko serikali. Leo yako wapi?
Na ukumbuke wanaolaumiwa Sasa si wananchi wa kawaida, ni kuanzia bunge la kipindi hicho na serikali nzima. Leo hii unataka kujenga hoja za kitoto kabisa kuhusu wa kumuamini!? Hata aliyeondolewa sio mwana JF Bali ni waziri wa serikali, ambaye alikuaa akiiwakilisha sserikali kwetu na tulimuamini lakini mkubwa wake kamuona hafai.
Halafu JF uusiichukulie kwa dharau hivyo, jiulize kwanza kwa nini wewe ni mmoja wa hao wana JF?
County yourself lucky kwamba nimepoteeza muda wangu kukujibu.
kunawatu hawataki kusikia kitu tanganyikaKama hatuna kumbukumbu za miaka ya hivi karibuni je tutaweza kujua aliyebuni jina la tanganyika!?
Nani Kachora Nembo ya Taifa: Mzee Farahani (Farhan), Ngosha, au Jeremiah Wisdom Kabati?
Kuna wanaosema Mzee Jeremiah Wisdom Kabati kachora nembo ya Taifa. Wengine wanasema Mzee Ngosha kachora. Kwa sasa mimi nipo upande wa Professor Elias Jengo anayesema nembo ilichorwa na Mzee Abdallah Farahani kutoka Zanzibar. Professor Jengo aliandika kwenye kitabu kwamba Mzee Farahani ndio aliyechora nembo ya Taifa. Inasemekana mtoto wa Mzee Farahani, Iddi Farahani alikuwa na sketches za baba yake za hii nembo. Mzee Farahani alisoma na Mwalimu Nyerere Makerere. Professor Elias Jengo kutoka Chuo Kikuu anaandika kwenye kitabu “East Africa Art Biennale” kwamba “As a designer, Abdallah Farahani will be remembered for his design of the national emblem. The emblem was recently criticized by a legislator for depicting barefooted human figures.” Ukurasa 44. Kaka Dominicus Makukula, msanii na mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anaamini kwamba Mzee Furahani ndio aliyechora ile nembo ya taifa. Anasema mjukuu wa Mzee Farahani yupo Music Academy Zanzibar na pengine anaweza kutoa majibu kama kuna atayeweza kwenda kuongea nae zaidi. Mpaka tutapopata habari zaidi, inaonenaka kwamba Mzee Farahani kutoka Zanzibar ndio aliyechora ile nembo. Tusubiri tuone kama serikali itafuta mavumbi na kufungua maboksi yenye nyaraka husika.
FACT NUMBER 2
Tukiangalia nembo hii ya Tanganyika 1961, ile ya Tanzania 1964 na ule mchoro usio na rangi uliopo katika nyaraka ya National Flag and Coat of Arms Act ya 1971, tunapata nafasi na sababu ya kudhani kuwa mchoraji na mbunifu halisi wa nembo ya Taifa si Ngosha wala marehemu mzee Jeremiah Kabati. Familia ya kabati inasema mzee alichora nembo hiyo mwaka 1960 na katika mahojiano na TBC Taifa, Ngosha alisema kuwa alisanifu nembo hiyo na mwenzake mwaka 1957. Prof. Jengo anathibitisha kuwa mchoro wa Farahani kwa ajili ya Tanganyika uliandaliwa mwaka 1961 na kuboreshwa 1964 wakati wa maandalizi ya nembo ya Jamhuri ya muungano. Swali la msingi, je yawezekanaje pasiwe na kumbukumbu hali miaka kumi baadae, marehemu Mwl. Nyerere alipatiwa mswada wa sheria ya nembo ya Taifa ileile ya mwaka 1961 pia 1964 (isiyonakshiwa kwa rangi) kwa ajili ya kuisaini ili iwe sheria kamili. Je walioandaa mswada walitoa wapi blue print ya nembo halisi mwaka 1971? Tatizo si kukosekana kwa nyaraka wala kumbukumbu, bali tatizo ni kukosekana watu wenye weledi kweye eneo la historia ya sanaa katika kuhifadhi amali hizi za Taifa katika mamlaka za kusimamia sanaa na utamaduni wa Taifa. mzee Mbughuni Sr. alifanya kazi kama Promoter of national arts miaka ya 1960s na hatimaye kuwa mkurugenzi wa idara ya sanaa miaka ya 1970s mwishoni, alianzisha Chuo cha Sanaa Bagamoyo mwaka 1981 baada ya kuvunja kikundi cha sanaa cha Taifa mwaka 1979 (Kelly Askew 2005:304-309), hawa ndio aina ya watu tuliowakosa katika miaka hii Tanzania...
Imechukuliwa kutoka bandiko la Azaria Mbughuni
May 26, 2017
Too bad serikali haina kumbumbu [emoji23]
Hata serikali inatia aibu, kuna maktaba ya taifa, tuna makumbusho ya taifa, makavazi ya Mwl Nyerere, na taasisi kibao za utamaduni lkn hata waziri hajui yupi yupi kwenye hilo sakata.tunasikitisha ila ni rahisi kwa mtanzania kukutajia listi nzima ya kikosi cha Arsenal mwaka 1995.