Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

Syria haieleweki kwa sasa halafu inamiliki silaha hatari za maangamizi .Sasa ulitegemea Israeli isubiri kushambuliwa wakati inao uwezo wa kujilinda?
 
Hebu kuwa na akili basi kwenye vitu serious.

Kama umeshindwa kujikita katika mada fungua huo uzi wa Hamas na Israel uelezee yako.

Pamoja ya kwamba swali lako kuhusu Hamas ni upuuzi
Kwani nyie Hamas mlipewa na nani mamlaka ya kuishambulia Israeli¿?
Kadhi kakujibu kifilosofia. Yaani wewe haujui masuala yanayohusu ulinzi wa mipaka ya nchi!!?? Unataka mpaka hao Magaidi wenu wa Kisunni waishambulie Israel kama walivyofanya KAMASI ZENU ndiyo wao wazinduke usingizini? Kwa Taarifa yako HTS wameisha tangaza wataishambulia Jerusalem na baadae waingie Macca.
Na wewe pia tukuulize nani kamruhusu Gaidi wenu Mkuu Edogan wa Uturuki kuyashambulia Maeneo ya Wakurdi huko Syria?
Kwa taarifa yako nyinyi magaidi wa Kisunni ni wakatili na wachinjaji wakubwa kupita Mashia. Abu Mohammad Al Jolan is a monster

View: https://x.com/Osint613/status/1866047665345036338
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
upo sahihi ila ukija wakati wa kuzungumzia Urusi huwa mnabadilika
 
Hebu kuwa na akili basi kwenye vitu serious.

Kama umeshindwa kujikita katika mada fungua huo uzi wa Hamas na Israel uelezee yako.

Pamoja ya kwamba swali lako kuhusu Hamas ni upuuzi
Nikujibu tu kwamba...... Israel wanadai wametekekeza mashambulizi mengi zaidi ya 250 sehemu tofauti kule Syria kwa madai ya kuwa....1 wanasema silaha zilizokuwa zikimilikiwa na wanajeshi wa Syria zisiangukie mikononi mwa waasi hasa hesbolah....2 Israel anatumia loophole hiyo ya vita kupanua mipaka yake..to grab a more land
 
Hamas waliishambulia Israel kwasababu ya mateso ambayo Israel inawafanyia Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuyakalia kimabavu maeneo ya Wapalestina.

Sasa jibu hoja kwanini Israel anaishambulia Syria wakati Syria hajarusha hata risasi moja kuelekea Israel?

Weka sababu zilizo wazi na zenye mashiko kama ilivyo sababu za wazi na zenye mashiko za Hamas.
 
Israel kwanza ilishambulia kambi za jeshi hasa sehemu Kuna silaha..wameiangamiza.. lengo silaha zisiangukie kwa hisbollah...na pia silaha nyingi za kule ni zile za Iran na Russia
 
Sisi Waislam tunaelewa kinacho kuja wacha Israel afike mpaa Damascus, na pia usisahau hata Firauni alikuwa ana kiburi kuliko huyo Shetanyahu. Mimi navyo ona ni tofouti na mkristo na myahudi. Syria itabaki kuwa makao makuu ya jeshi la kislamu. Israel siku zake zimekaribia kuwiva, wacha waendelee kuota na ile map yao Greater Israel 🤣
Dua ya kuku haimpati mwewe. Hata 7/10/2023 ilisemwa hivi hivi eti mwisho wa mayahudi umefika, mara waarabu wataungana, mara Yahudi hataingia Gaza, hajui vita ya ardhini na story kibao. Kwamba Israel akifika Damascus ndio itafutwa na nani wkt itakuwa imejipanua. Kila kitabu kina unabii wake. Kibiblia Marekani na upapa ndio kiboko ya dunia mpaka Yesu atakaporudi.
 
Israeli ni 51 state ya US ...ME....US wana weka oder ili
1.Wawekeze kwenye gas na oil kwenda ulaya hasa toka Qatar.
2.Kuhakikisha Biashara ya gas na oil inafanywa kwa dola
3.Kuuwa dominance ya Iran.ME
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
ni ubabe wao tunambao ipo siku utawatokea puani
 
Kuna taarifa nyingi za kiintelijensia ambazo hatuzijui na hazijawekwa wazi ambazo zimepelekea hayo yanayotokea kuendelea kutokea.

Hivyo wewe unasikia propaganda tu za media lakini kuna siri nzito kwenye vita zote ulizowahi/unazosikia ambazo ndiyo hoja kuu ya kuwepo kwa vita husika.
 
Sisi Waislam tunaelewa kinacho kuja wacha Israel afike mpaa Damascus, na pia usisahau hata Firauni alikuwa ana kiburi kuliko huyo Shetanyahu. Mimi navyo ona ni tofouti na mkristo na myahudi. Syria itabaki kuwa makao makuu ya jeshi la kislamu. Israel siku zake zimekaribia kuwiva, wacha waendelee kuota na ile map yao Greater Israel 🤣
Unaonekana unaongea kwa kukata tamaa ,pia Hadith za Muhammad zimekudanganya
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?

Mkuu, ulitaka nani awape mamlaka? Ni sawa na kuuliza nani amewapa Iran Mamlaka ya kuisaidia Hezbolah! Au Nani amewapa mamlaka ya Waasi wa Syria kumuondoa Asad!

In short, Israel imeangalia mbele sana! Hivyo vikundi ambavyo vinachukua mamlaka Syria ni muunganiko wa vikundi vingi (Mwenye kuvifahamu anajua tu kuna vita kati ya wao kwa wao si chini ya miezi sita) Na katika itikadi ya baadhi ya vikundi adui yao mkubwa ni Israel! Na Israel inajua wazi silaha nyingi na nzito zikiangukia mikononi mwa baadhi ya vikundi hivyo usalama wa Israel utakuwa mashakani!

Tofauti kubwa ya Israel na Waarabu, ni kuwa Israel inaweza kuangalia mbele miaka na kujaribu kuona nini kitatokea ili kujihami! Waarabu huwa wanaangalia kesho tu! Wangelikuwa wanaungana wao kwa wao na kuangalia mbele toka 1948! Leo Mashariki ya kati isingekuwa hivo!
 
Dua ya kuku haimpati mwewe. Hata 7/10/2023 ilisemwa hivi hivi eti mwisho wa mayahudi umefika, mara waarabu wataungana, mara Yahudi hataingia Gaza, hajui vita ya ardhini na story kibao. Kwamba Israel akifika Damascus ndio itafutwa na nani wkt itakuwa imejipanua. Kila kitabu kina unabii wake. Kibiblia Marekani na upapa ndio kiboko ya dunia mpaka Yesu atakaporudi.
Wewe mwenyewe hujui bibilia eti Yesu atarudi, bibilia yenu inakiri Yesu harudi. Bibilia zenu zilidai kuwa Yesu alisema atarudi ndani ya maisha ya Mitume yenu wa kwanza Paulo je karudi, na walimwamini kama wewe atarudi, Mitume wote walikufa na Yesu hakurudi tena. Kwa hiyo Ukristo unapaswa kukataliwa. Kuna sehemu nyingi ambazo Yesu alisema wanafunzi wake hawataonja kifo na wangekuwa bado hai wakati, Ujio wa Pili ungetokea. kunakingine zaidi ya hayo, wanafunzi waliamini, wakitumia maneno kama, basi sisi tulio hai, tuliobakia hata kuja kwa Bwana, vilevile Paulo aliwaonya waamini kwamba wasiolewe, kwa sababu Yesu alikuwa anarudi upesi.Hata katika Ufunuo, Yohana alidai kwamba alipata maono kutoka kwa Yesu akisema anakuja upesi.

Mitume wote walikufa bila kurudi tena. Miaka 2000 baadaye hakuna kurudi tena.bibilia yenu inakiri kwamba Yesu alisema uongo. We baki US atabaki Super power mpaa Yesu arudi, hizo ni ndoto za vichaa.
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?

Mkuu Mimi:

Mbona husemi kuhusu Turkey? Kumbuka Uturuki inakalia sehemu kubwa pia kaskazini mwa Syria ikisaidia kuvipiga vita vikundi vya KIkurdish! Hilo hulioni? Kila nchi inaangalia maslahi yake!
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
Fuatilia mambo kwa undani uelewe kwa nini hayo yanafanyika.

Kwani umesikia utawala mpya ukilalamika? Yanayofanyika yapo ndani ya makubaliano yao.

Vinavyoshambuliwa ni maghala ya silaha ya Iran na kiwanda cha makombora cha Iran nchini Syria, vyote iran iliviweka kwaajili ya kuwawezesha Hezibollah kupata silaha.

Hapo haishambuliwi Syria balizinavunjwa nguvu za kundi la kigaidi la Hezbollah. Wanazuia kila uwezekano wa silaha hizo kuwafikia Hezbollar. Yote ni kwa manufaa ya usalama wa Serikali mpya ya Syria, usalama wa Wasyria na usalama wa Israel. Ndiyo maana husikii utawala moya ukilalamika, husikii mtu ameuawa, kwa sababu kuna mawasiliano kati ya Serikali mpya na Israel.
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?

Unasema yanashangaza dunia! Kweli unachekesha! Uturuki imeshambulia mara nyingi na hata sasa hivi! Hilo halikushangazi? Au wewe ni maamuma sa dynamics za middle east!
 
Back
Top Bottom