Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu kuwa na akili basi kwenye vitu serious.
Kama umeshindwa kujikita katika mada fungua huo uzi wa Hamas na Israel uelezee yako.
Pamoja ya kwamba swali lako kuhusu Hamas ni upuuzi
Kadhi kakujibu kifilosofia. Yaani wewe haujui masuala yanayohusu ulinzi wa mipaka ya nchi!!?? Unataka mpaka hao Magaidi wenu wa Kisunni waishambulie Israel kama walivyofanya KAMASI ZENU ndiyo wao wazinduke usingizini? Kwa Taarifa yako HTS wameisha tangaza wataishambulia Jerusalem na baadae waingie Macca.Kwani nyie Hamas mlipewa na nani mamlaka ya kuishambulia Israeli¿?
upo sahihi ila ukija wakati wa kuzungumzia Urusi huwa mnabadilikaKuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.
Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.
Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.
Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.
Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.
Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
Nikujibu tu kwamba...... Israel wanadai wametekekeza mashambulizi mengi zaidi ya 250 sehemu tofauti kule Syria kwa madai ya kuwa....1 wanasema silaha zilizokuwa zikimilikiwa na wanajeshi wa Syria zisiangukie mikononi mwa waasi hasa hesbolah....2 Israel anatumia loophole hiyo ya vita kupanua mipaka yake..to grab a more landHebu kuwa na akili basi kwenye vitu serious.
Kama umeshindwa kujikita katika mada fungua huo uzi wa Hamas na Israel uelezee yako.
Pamoja ya kwamba swali lako kuhusu Hamas ni upuuzi
Hamas waliishambulia Israel kwasababu ya mateso ambayo Israel inawafanyia Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuyakalia kimabavu maeneo ya Wapalestina.
Sasa jibu hoja kwanini Israel anaishambulia Syria wakati Syria hajarusha hata risasi moja kuelekea Israel?
Weka sababu zilizo wazi na zenye mashiko kama ilivyo sababu za wazi na zenye mashiko za Hamas.
Dua ya kuku haimpati mwewe. Hata 7/10/2023 ilisemwa hivi hivi eti mwisho wa mayahudi umefika, mara waarabu wataungana, mara Yahudi hataingia Gaza, hajui vita ya ardhini na story kibao. Kwamba Israel akifika Damascus ndio itafutwa na nani wkt itakuwa imejipanua. Kila kitabu kina unabii wake. Kibiblia Marekani na upapa ndio kiboko ya dunia mpaka Yesu atakaporudi.Sisi Waislam tunaelewa kinacho kuja wacha Israel afike mpaa Damascus, na pia usisahau hata Firauni alikuwa ana kiburi kuliko huyo Shetanyahu. Mimi navyo ona ni tofouti na mkristo na myahudi. Syria itabaki kuwa makao makuu ya jeshi la kislamu. Israel siku zake zimekaribia kuwiva, wacha waendelee kuota na ile map yao Greater Israel 🤣
ni ubabe wao tunambao ipo siku utawatokea puaniKuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.
Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.
Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.
Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.
Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.
Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
Kuna taarifa nyingi za kiintelijensia ambazo hatuzijui na hazijawekwa wazi ambazo zimepelekea hayo yanayotokea kuendelea kutokea.
Hivyo wewe unasikia propaganda tu za media lakini kuna siri nzito kwenye vita zote ulizowahi/unazosikia ambazo ndiyo hoja kuu ya kuwepo kwa vita husika.
Unaonekana unaongea kwa kukata tamaa ,pia Hadith za Muhammad zimekudanganyaSisi Waislam tunaelewa kinacho kuja wacha Israel afike mpaa Damascus, na pia usisahau hata Firauni alikuwa ana kiburi kuliko huyo Shetanyahu. Mimi navyo ona ni tofouti na mkristo na myahudi. Syria itabaki kuwa makao makuu ya jeshi la kislamu. Israel siku zake zimekaribia kuwiva, wacha waendelee kuota na ile map yao Greater Israel 🤣
Mipaka yake ni pamoja na hilo eneoKama kujilinda kwa nini asiimarishe mipaka yake ?
Firauni alitamba kuliko Shetanyahu, kawaida Mungu watu type hio huwa anawainua afu anawashusha 😄Nini sasa kinachokufurahisha ?
Wapi nilipo kata tamaa, mimi naamini Mungu mmoja nikatee tamaa.Unaonekana unaongea kwa kukata tamaa ,pia Hadith za Muhammad zimekudanganya
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.
Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.
Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.
Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.
Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.
Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
Wewe mwenyewe hujui bibilia eti Yesu atarudi, bibilia yenu inakiri Yesu harudi. Bibilia zenu zilidai kuwa Yesu alisema atarudi ndani ya maisha ya Mitume yenu wa kwanza Paulo je karudi, na walimwamini kama wewe atarudi, Mitume wote walikufa na Yesu hakurudi tena. Kwa hiyo Ukristo unapaswa kukataliwa. Kuna sehemu nyingi ambazo Yesu alisema wanafunzi wake hawataonja kifo na wangekuwa bado hai wakati, Ujio wa Pili ungetokea. kunakingine zaidi ya hayo, wanafunzi waliamini, wakitumia maneno kama, basi sisi tulio hai, tuliobakia hata kuja kwa Bwana, vilevile Paulo aliwaonya waamini kwamba wasiolewe, kwa sababu Yesu alikuwa anarudi upesi.Hata katika Ufunuo, Yohana alidai kwamba alipata maono kutoka kwa Yesu akisema anakuja upesi.Dua ya kuku haimpati mwewe. Hata 7/10/2023 ilisemwa hivi hivi eti mwisho wa mayahudi umefika, mara waarabu wataungana, mara Yahudi hataingia Gaza, hajui vita ya ardhini na story kibao. Kwamba Israel akifika Damascus ndio itafutwa na nani wkt itakuwa imejipanua. Kila kitabu kina unabii wake. Kibiblia Marekani na upapa ndio kiboko ya dunia mpaka Yesu atakaporudi.
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.
Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.
Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.
Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.
Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.
Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
Fuatilia mambo kwa undani uelewe kwa nini hayo yanafanyika.Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.