Huyo Hamisa unaemuona wa maana ana kipi cha tofauti mpaka umuone wa ghali sana??
Unahisi anableed sharubati ama akitoa ushuzi unanukia Issey Miyake??
Acha kughilibika na make ups na nguo zile.
Hana chochote kilicho halisi, shape fake, rangi fake sitostaajabu hata papa ishafanyiwa marekebisho kuashiria ni fake. Ni sawa na kunywa juice yenye ladha ya machungwa lakini si ya machungwa halisi.
Dhamira ya kufanya mapenzi ni usikie raha ila kama unataka kufanya jina basi toa hata bilioni, mwisho wa siku ni pesa yako
Kuna tofauti ya kupenda mteremko na kupenda ladha halisi.
Jiulize kama watamu sana mbona hawadumu kwenye mahusiano, unadhani hakuna wenye pesa wa kuwatuliza mpaka wauze nyuchi.