Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

We! huyu mdudu mtamu asikwambie mtu, ukikutana na yule OG kwa sababu saa hivi kuna mabroiler ya nguruwe, hayo ndo yamefanya niache kula.
Ila hiki kiumbe sio poa, napendaga rosti ichanganywe na ndizi
 
Kuna mambo ambayo yana madhara ya moja kwa moja kwa Jamii na kwa mtazamo wangu hayo ndio yangewekwa mbele mbele sana kwenye mahubiri kuliko kuzungumzia Nguruwe sijui siku ya kusali ni ipi kwa mtazamo wangu ni mambo mepesi mno kulinganisha na
Ufisadi
Ujambazi
Mauaji
Uasherati
Mapenzi ya jinsia moja
Uonevu
Kusaidia wasiojiweza
 
Nilichongundua hadi sasa hakuna anaeweza kumtetea mbuzi wa Vatican wate wapiga umbea porojo na vichambo
 
 
Hiyo na sio hoja ukitaka siasa nenda jukwaa lake
 
Tetea kwa hoja acha makasiriko
 
mfungo wa Ramadan huwa kitimoto kinadoda sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…