Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao
Waislam wanaruhusiwa kula kidogo wasije wakafa kwa njaa. Nasisitiza kidogo
 
Halali ni nini au unadhani Dini na Imani zilianza na Ukristo na Uislamu ? Unadhani ni Middle East na Wayahudi pekee ndio walioamini; Huko Asia na Afrika walikuwa hawana Imani ?

Unapotumia sehemu ya Imani ya wachache ku-generalize wote nadhani anayehitaji kusoma Historia ni wewe
( By the way Dini sio Historia ni Imani na unaweza ukaamini chochote unachotaka)
Sijageneralize nimetaja Uislamu na Ukristo tu kama wewe rastafarian na unaruhusiwa according to dini yako kula kama ww ni mzee wa mizimu kula, lakn kama ww ni kati ya hao niliwataja kwenye heading basi unakula najisi
 
Ni "Mungu" typing error
We kila kitu ni typing error HAUPO MAKINI kwa maana hio basi hata Biblia hujaisoma kwa MAKINI ndio maana umeshindwa kuielewa.

Ushauri wangu kwako jikite kuelezea mazuri ya dhehebu lako ili watu washawishike kujiunga nalo. Asante.
 
NOAH
MEZA KUBWA
MDUDU
KITIMOTO
SWINE
NGURUWE
MKUU WA MEZA

Anakutana na Vita kubwa saaana, ila anashinda kwenye Utamu tu.
 
We kila kitu ni typing error HAUPO MAKINI kwa maana hio basi hata Biblia hujaisoma kwa MAKINI ndio maana umeshindwa kuielewa.

Ushauri wangu kwako jikite kuelezea mazuri ya dhehebu lako ili watu washawishike kujiunga nalo. Asante.
Huna hoja even computer sometimes fail
 
Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.

Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula nyama yao, wala hamgusi mizoga yao. Hao ni najisi kwenu."

Pia, kuna vifungu vingine vinavyopinga ulaji wa nguruwe kama vile Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 14:8 ambacho kinapinga ulaji wa nguruwe, na Matendo ya Mitume 15:28-29 ambayo yanahimiza waumini kuepuka kula nyama iliyotolewa kwa sanamu na damu.

Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.

NB: TUJADILI KWA AYA NA VIFUNGO MBALIMBALI ZA VITABU MBALIMBALI VYA DINI NGOJERA HAZITAKIWI.

View attachment 2613342
Mungu amemuumba wanadamu tule,nyie na vidini vyenu vya mchongo mnakataza watu wasile,mmelaaniwa nyie

Kufuata dini ni upumbavu,Mfuate Mungu sio dini
 
Kuna dini inafundisha uzinzi,unyama,wivu,kijicho,uzinzi,
Dini hazina shida sema uanadamu ndio una shida.
 
Sijageneralize nimetaja Uislamu na Ukristo tu kama wewe rastafarian na unaruhusiwa according to dini yako kula kama ww ni mzee wa mizimu kula, lakn kama ww ni kati ya hao niliwataja kwenye heading basi unakula najisi
Kwahio hapa umeshajibu part ya swali lako (nani kasema ni halali) hio part nyingine nadhani bado arguably mtu anaweza akala wa dini hio na bado akasema huenda wewe ndio umeshindwa kuelewa neno (after all hata maandiko ni subjective, nyote mnaweza mkasoma neno lile lile na bado msikubaliane) after all ni Imani...., hata anayesoma anaamini kwamba yeye ndio ameelewa zaidi kuliko wewe (after all unajuaje huenda Mungu ndio amemuongoza kichwani mwake na wewe ndio umepotoka)
 
Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.

Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula nyama yao, wala hamgusi mizoga yao. Hao ni najisi kwenu."

Pia, kuna vifungu vingine vinavyopinga ulaji wa nguruwe kama vile Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 14:8 ambacho kinapinga ulaji wa nguruwe, na Matendo ya Mitume 15:28-29 ambayo yanahimiza waumini kuepuka kula nyama iliyotolewa kwa sanamu na damu.

Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.

NB: TUJADILI KWA AYA NA VIFUNGO MBALIMBALI ZA VITABU MBALIMBALI VYA DINI NGOJERA HAZITAKIWI.

View attachment 2613342
Mimi sijawahi kumla nguruwe japo napenda sana kuila nyama ya nguruwe ikichanganywa na ndizi bukoba na mchicha, utajutia kuchelewa kuila.
 
Kwahio hapa umeshajibu part ya swali lako (nani kasema ni halali) hio part nyingine nadhani bado arguably mtu anaweza akala wa dini hio na bado akasema huenda wewe ndio umeshindwa kuelewa neno (after all hata maandiko ni subjective, nyote mnaweza mkasoma neno lile lile na bado msikubaliane) after all ni Imani....
Nmeongelewa dini mbili tu, kwan ujaelewa nn
 
➡️➡️➡️ Hakuna mtu atakayekwenda motoni kisa alikula mnyama asiyecheua, asiye na kwato zilizogawanywa au samaki asiye na magamba kama hawa Wasabato wanavyoshadadia.

Uzi unaweza kufungwa sasa maana naona ni kama mnapoteza muda kujadili kitu ambacho hakina athari yo yote katika wokovu wa mtu (katika Ukristo) 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Siku zote mwalimu akitoa mtihani au swali akataka apewe majibu anayoyataka yeye au ya kichwani mwake huwa anawavujishia na majibu wa C & P wamfurahishe kwa majibu yake.
 
Back
Top Bottom