Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Kula lakn ni najisi ujue tu
Kuna manajisi kuliko viongozi wa serikali? Mbona tunaongozwa nao na hakuna manoma wala manini?
Piga kitimoto wewe, achana na maushamba yako hayo. Yaani ukishaanza maisha ya kupakapaka hinnah tu unataka kuleta makatazo ya kale.
Hebu agiza kilo halafu nitumie lipa namba yao nirekebishe.
 
Kuna manajisi kuliko viongozi wa serikali? Mbona tunaongozwa nao na hakuna manoma wala manini?
Piga kitimoto wewe, achana na maushamba yako hayo. Yaani ukishaanza maisha ya kupakapaka hinnah tu unataka kuleta makatazo ya kale.
Hebu agiza kilo halafu nitumie lipa mamba yao nirekebishe.
Nenda jukwaa la siasa Katoe malalamiko yako hapa tunamzungumzia nguruwe
 
Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.

Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula nyama yao, wala hamgusi mizoga yao. Hao ni najisi kwenu."

Pia, kuna vifungu vingine vinavyopinga ulaji wa nguruwe kama vile Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 14:8 ambacho kinapinga ulaji wa nguruwe, na Matendo ya Mitume 15:28-29 ambayo yanahimiza waumini kuepuka kula nyama iliyotolewa kwa sanamu na damu.

Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.

NB: TUJADILI KWA AYA NA VIFUNGO MBALIMBALI ZA VITABU MBALIMBALI VYA DINI NGOJERA HAZITAKIWI.

View attachment 2613342
Ni haramu kwenu. Sisi tunaoamini kwenye mizimu na uafrika tunagonga fresh tuu na hakuna baya kutukuta. Huko firdausi kwenu mtajua wenyewe
 
Teh teh!Unajipangia ujibiwe vipi?Kula kitimoto upate akili wewe.Umezubaa sana kama mkebe.
Jamaa uzi ni wake ndiyo lakini ameukomalia balaa masharti kibao ya jinsi anavyotaka ajibiwe, mara thread closed, mara atukane watu ali mradi vurugu tupu. Anafikiri kuanzisha uzi ndiyo ana usemi wa mwisho kumbe ukishaweka kitu public unakuwa umefungua pandora box kwa mawazo ya kila aina 😁😁😁
 
Nenda jukwaa la siasa Katoe malalamiko yako hapa tunamzungumzia nguruwe
Unajua mimi naongea ili peace and love meen, sipendi ukose vitu vizuri.
Hivi unajua kuwa ni sababu ya UKIMWI ulio nao (yaani Upungufu wa Kitimoto Mwilini ndiyo unapelekea unaandika nyuzi za ajabu ajabu?
Hebu jaribu kidogo, utanishukuru mwenyewe.
 
Jamaa uzi ni wake ndiyo lakini ameukomalia balaa masharti kibao ya jinsi anavyotaka wajibu, mara thread closed, mara atukane watu Ali mradi vurugu tupu. Anafikiri kuanzisha uzi ndiyo ana usemi wa mwisho kumbe ukishaweka kitu public unakuwa umefungua pandora box kwa mawazo ya kila aina 😁😁😁
Nmemtukana nani weka ushaid mtu alistarabika anakua na ushaid alopoki
 
Unajua mimi naongea ili peace and love meen, sipendi ukose vitu vizuri.
Hivi unajua kuwa ni sababu ya UKIMWI ulio nao (yaani Upungufu wa Kitimoto Mwilini ndiyo unapelekea unaandika nyuzi za ajabu ajabu?
Hebu jaribu kidogo, utanishukuru mwenyewe.
Sawa ni maoni pia
 
Yani ni heri kama umegundua hilo ili utupunguzie matumizi ya mywetu kwa sababu hawatutoshi jamani,ee nguruwe ni najisi usile tuachie sie wengine tuendelee kula kumfaidi mywetu kitimoto[emoji39][emoji1]
 
Jamaa uzi ni wake ndiyo lakini ameukomalia balaa masharti kibao ya jinsi anavyotaka ajibiwe, mara thread closed, mara atukane watu ali mradi vurugu tupu. Anafikiri kuanzisha uzi ndiyo ana usemi wa mwisho kumbe ukishaweka kitu public unakuwa umefungua pandora box kwa mawazo ya kila aina 😁😁😁
Bado anaendelea kuvunja ungo.Bado mdogo.
 
Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.
kwa hiyo nguruwe akichinjwa kwa kumtaja Mungu anakuwa halali tu, au sio?
 
Yani ni heri kama umegundua hilo ili utupunguzie matumizi ya mywetu kwa sababu hawatutoshi jamani,ee nguruwe ni najisi usile tuachie sie wengine tuendelee kula kumfaidi mywetu kitimoto[emoji39][emoji1]
Kula maamuzi ni yako, alisema msizin lakn najua hapo kuna jamaa anaomba gemu na wew huendi mpaka atume na yakutolea
 
Back
Top Bottom