Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Waislam wanaruhusiwa kula kidogo wasije wakafa kwa njaa. Nasisitiza kidogo
 
Sijageneralize nimetaja Uislamu na Ukristo tu kama wewe rastafarian na unaruhusiwa according to dini yako kula kama ww ni mzee wa mizimu kula, lakn kama ww ni kati ya hao niliwataja kwenye heading basi unakula najisi
 
Ni "Mungu" typing error
We kila kitu ni typing error HAUPO MAKINI kwa maana hio basi hata Biblia hujaisoma kwa MAKINI ndio maana umeshindwa kuielewa.

Ushauri wangu kwako jikite kuelezea mazuri ya dhehebu lako ili watu washawishike kujiunga nalo. Asante.
 
NOAH
MEZA KUBWA
MDUDU
KITIMOTO
SWINE
NGURUWE
MKUU WA MEZA

Anakutana na Vita kubwa saaana, ila anashinda kwenye Utamu tu.
 
We kila kitu ni typing error HAUPO MAKINI kwa maana hio basi hata Biblia hujaisoma kwa MAKINI ndio maana umeshindwa kuielewa.

Ushauri wangu kwako jikite kuelezea mazuri ya dhehebu lako ili watu washawishike kujiunga nalo. Asante.
Huna hoja even computer sometimes fail
 
Mungu amemuumba wanadamu tule,nyie na vidini vyenu vya mchongo mnakataza watu wasile,mmelaaniwa nyie

Kufuata dini ni upumbavu,Mfuate Mungu sio dini
 
Kuna dini inafundisha uzinzi,unyama,wivu,kijicho,uzinzi,
Dini hazina shida sema uanadamu ndio una shida.
 
Sijageneralize nimetaja Uislamu na Ukristo tu kama wewe rastafarian na unaruhusiwa according to dini yako kula kama ww ni mzee wa mizimu kula, lakn kama ww ni kati ya hao niliwataja kwenye heading basi unakula najisi
Kwahio hapa umeshajibu part ya swali lako (nani kasema ni halali) hio part nyingine nadhani bado arguably mtu anaweza akala wa dini hio na bado akasema huenda wewe ndio umeshindwa kuelewa neno (after all hata maandiko ni subjective, nyote mnaweza mkasoma neno lile lile na bado msikubaliane) after all ni Imani...., hata anayesoma anaamini kwamba yeye ndio ameelewa zaidi kuliko wewe (after all unajuaje huenda Mungu ndio amemuongoza kichwani mwake na wewe ndio umepotoka)
 
Mimi sijawahi kumla nguruwe japo napenda sana kuila nyama ya nguruwe ikichanganywa na ndizi bukoba na mchicha, utajutia kuchelewa kuila.
 
Nmeongelewa dini mbili tu, kwan ujaelewa nn
 
➡️➡️➡️ Hakuna mtu atakayekwenda motoni kisa alikula mnyama asiyecheua, asiye na kwato zilizogawanywa au samaki asiye na magamba kama hawa Wasabato wanavyoshadadia.

Uzi unaweza kufungwa sasa maana naona ni kama mnapoteza muda kujadili kitu ambacho hakina athari yo yote katika wokovu wa mtu (katika Ukristo) 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Siku zote mwalimu akitoa mtihani au swali akataka apewe majibu anayoyataka yeye au ya kichwani mwake huwa anawavujishia na majibu wa C & P wamfurahishe kwa majibu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…