Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

Bwana Ameir Seif Paje Kidagaaa bila picha bas tofauti yako na mwamposa ni level ya umaaarufu tu!
Tafadhali naitwa ( majina yangu halisi ) ya NIDA, RITA na UHAMIAJI Tanzania Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( alias GENTAMYCINE ) sawa Mkuu?

Cc: adriz na Bujibuji Simba Nyamaume
 
7. Mavi yao ni kama Utumbo wa Kuku, Meusi, Mafupi na yananuka balaa
Hapa ndio umenijuza! Kuna mavi huwa nayakuta kila asubuhi ni meusi mafupi na yanaharufu mbaya sana. Nimejiuliza sana ni mnyama/ndege gani? Popo?, mijusi? Sijapata jibu. Nimefuatilia usiku wa manane kuna siku nikaona kichwa kidogo kama cha popo kinarudi nyuma kuingia kwenye mbao, asubuhi yake nikazitoa mbao zote ila baada ya hapo nikaambulia patupu.. sijawahi kumuona tena! Leo umenifumbua macho.
 
Kwamba mtu aingie nchini bila kibali na tumuache tu kisa anatafuta maisha!?
 
Na isitoshe wengi wa hao "Mahausi Gelo" wameajiriwa na Watumishi wa Serikali..
 
Huyo atakuwa ni Panya Malawi au Panya Polepole tu Mkuu. Pole sana kwa Kero hiyo.
 
kwa ivo tuna balaa la wakimbizi aina ya panya kutoka malawi,bado kidogo tutapata panya wakimbizi kutoka rwanda!!!
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
Nimechanganya na nimeonja Sasa sijajua kama imekolea au bado. Ikikolea ina ladha gani?
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata huku wapo
Ila uchunguzi holela ni kuwa wanakuja katika yale matenga wanaweka ndizi zinazotokea malawi..
Ajabu yake ni kuwa badala wajae masokoni ila karibu Dar yote wameenea now.
Ni wakubwa kweli kweli..
La kula nyaraka ndo bado sijashuhudia kama wanakula karatasi.kama hawali nyaraka basi usahihi wa kuwa ni wamchonga utakuwa umepatia.
 
Ha! Mbona wakubwa wetu tayari wameshaonya hususana katika kipindi hiki cha Changuzi zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…