Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Nyomi zote anazozoaga kila pahala panapoitwa mkutano ama kikao, wote hao huwaga ni haters?makonda watakuwa wanakiua chama. makonda is not a favorite of majority CCM members those who are intelligent!
Mkuu omba Mungu isiwe hivyo make tutaingia kwenye gharama nyingine ya uchaguzi mdogo wa Ubunge...ufujaji wa pesa ya walipa kodi.Nafasi ya Nape iyo
Mimi nabashiri Msigwaππππ
PIA SOMA
- Breaking News: - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Dr. Bashiru ni chuma cha pua. Samia kama anataka kutemana na wahuni basi amvute Polepole na Dr. Bashiru uone kama kuna mtu ataleta chokochoko. Huko kwingine TISS watajuana waoHapo nashauri awe mtu style ya Mzee Pinda kabisa, mtu asiyekuwa na mihemko, hana kabisa muingiliano wa maslahi binafsi ya utajiri na utumishi wa umma. Au Dkt Bashiru
Huyu anasubiri Katibu Mkuu atakayechaguliwa ili amsifie na kububujikwa na machozi. Na kudai haijawahi kutokea
a lady?Nahisi atakuwa Lucas Mwashambwa
bashiru hakutaka Samia awe Rais, atamleta kweli awe makamu?Dr. Bashiru ni chuma cha pua. Samia kama anataka kutemana na wahuni basi amvute Polepole na Dr. Bashiru uone kama kuna mtu ataleta chokochoko. Huko kwingine TISS watajuana wao
kwanini amemtumbua?January Makamba.
Hajatumbuliwa, amehamishwa kitengo tu.kwanini amemtumbua?
Bashiru ana kisasi na team Kikwete kwahiyo anaweza faa kutokana na uzoefu wake kuwafanya wastaafu waishi kama mashetani. Na ni mzoefu wa kutumia nguvu za dola.bashiru hakutaka Samia awe Rais, atamleta kweli awe makamu?
Pinda si ni mstaafu? Ccm mmeishiwa watu?Hapo nashauri awe mtu style ya Mzee Pinda kabisa, mtu asiyekuwa na mihemko, hana kabisa muingiliano wa maslahi binafsi ya utajiri na utumishi wa umma. Au Dkt Bashiru
Watasema ni CUFBashiru ana kisasi na team Kikwete kwahiyo anaweza faa kutokana na uzoefu wake kuwafanya wastaafu waishi kama mashetani. Na ni mzoefu wa kutumia nguvu za dola.
Mizengo PindaMimi nabashiri Msigwaππππ
PIA SOMA
- Breaking News: - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
TayariKwani keshajiuzulu??