Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo nashauri awe mtu style ya Mzee Pinda kabisa, mtu asiyekuwa na mihemko, hana kabisa muingiliano wa maslahi binafsi ya utajiri na utumishi wa umma. Au Dkt Bashiru
Mtu mpaka level ya WM akishapita, anapaswa kubaki kuwa mshauri tu, kwenye baraza la wazee labda!
 
It doesn't matter! Whoever becomes, shall not change our woes under the yoke of CCM.
 
Pinda ndiye atakuwa makamu mwenyekiti mpya, maana Kamundu, Kalamu na Lucas Mwashambwa wote hawa wanamtaka Pinda.
Mtu pekee ninaye mhofia, kama nilivyo wahi kumhofia enzi zake Kinana; ni Bashiru katika wote wanaotajwa huko CCM.
Hawa wengine wote wanaotajwa, ni majina tu, lakini hawana uzito wa kifikra alio nao Bashiru.

Umakamu CCM, weka mbali kabisa na Bashiru.
 
Kuna tetesi nimesikia mahali kuwa Mwanasiasa nguli Stephen Wasira ndiye Makamu ajaye.

Inadaiwa pia alijadiliwa sana kuwa Makamu wa Rais baada ya Msiba wa Magufuli lakini ikaonekana achukuliwe waziri serikalini na ndipo Dr Philip Mpango akateuliwa na kupitishwa na Bunge March 2021.
 
Hizi ni tetesi tu. Nimesikia. asubuhi hii nitaletewa kadi yangu ya CCM halafu nitachaguliwa kuwa M/ Mwenyekiti.
Nitaisubiri hiyo kadi yangu halafu nitazithibitisha hizo habari baadaye.
 
Karibu tutoe maoni yetu hapa,

Nimeona maoni mbalimbali hasa kwenye groups za Whatsapp haya majina saba yametajwa mara nyingi zaidi.

Ni bora sasa iwepo Poll ili kulishindanisha Kila kundi,

Jinsi ya kupigakura,

Veka tiki kwa Mwanachama unayemwamini zaidi

Kisha shuka chini sehemu imeandikwa "Cast vote" bonyeza hapo.
 
Tunataka katiba mpya hayo mengine tunawaachia maccm waamue
 
Back
Top Bottom