Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Acha mawakili nao wapate kazi yakufanyaHakukuwa na haja ya chadema kwenda mahakamani kwa maoni yangu.chadema kwenda mahakamani wanajiingiza kwenye mtego.kesi itachukua 5 year
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?
NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?...
Kura za rais halafu usipate mbunge mmm hata wao Wabunge kuna mchango kwenye chama hukumbuki kuna wakati walikuwa wanalalamika wanakatwa pesa nyingi hazina hesabu[emoji23][emoji23][emoji23] mie si mwanasiasa mkuuRuzuku inatokana na wabunge au kura za urais za mgombea wa chama!?
aliyepeleka majina si alisaini dispatch. tume imtaje hadharani kutoa sintofahamuMsimamo wa NEC mpaka sasa ni kuwa majina yalitoka Chadema na yanabaraka za CC.
Anatetea wachache na pia ni wanawake,[emoji23]Hivi kweli eti Ndugai leo amegeuka kuwa mtetezi wa wabunge wa CHADEMA? najaribu tu kuwaza
Usisahau kuwaza pia kwamba ile "Team 19," akiwemo yule mbunge wa zamani kindakindaki wa Kawe wangeweza kuunga mkono juhudi kweli, tena kirahisi hivyo, tena haraka hivyo?Hivi kweli eti Ndugai leo amegeuka kuwa mtetezi wa wabunge wa CHADEMA? najaribu tu kuwaza
NecMahera alifanya press conference.
Mkali atapatikana kwa kutumia katibaChadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?
NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?....
Kama kweli CDM walipeleka majina hayo, nini kinawafanya akina HALIMA na wenzie kukata rufaa?Jambo ambalo naamini mimi ni CDM wamepeka majina maana Kama cdm wangekuwa hajapeleka majina na tunavyowaaminia makamanda (Halima & wenzie) wasingekubal kwenda bungeni LAKINI yanaweza kuwa hayajapelekwa na Mnyika