fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Mnakunya nyie sio yeyekwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000 inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu 10 kila chumba wakuu....?
Lakini si tunalipa kodi...? Je ile kodi si ni kwa ajili ya mambo kama haya...?Mnakunya nyie sio yeye
Jukumu la mwenye nyumba hiyo haina ubishi kama hataki unahamaMnakunya nyie sio yeye
Hama nyumba chapkwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000 inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu 10 kila chumba wakuu....?
Ume nishinda Tabia ndugu yangu😂😂😂Kwa style hii utaweza kumnunulia mpenzi wako dozen ya chupi kweli?
Hizo chupi za mkiachana mnazitaka?Kwa style hii utaweza kumnunulia mpenzi wako dozen ya chupi kweli?
Mimi nataka niweke mgomo, niwaambie sina maana matengenezo ya nyumba ni jukumu lake alfu 10 ni nyingi sanaJukumu la mwenye nyumba hiyo haina ubishi kama hataki unahama
🤣🤣 Mimi demu simnunulii chochote mpaka nitakapomuoa kama hataki atulieKwa style hii utaweza kumnunulia mpenzi wako dozen ya chupi kweli?
akikujibu nitag🤣🤣Hizo chupi za mkiachana mnazitaka?
Nimetafuta nyumba mwezi unaenda kukata sasa nmekosa na tarehe za kodi zinakaribia yaani.Hama nyumba chap
Bro hiyo 80k si mnachanga tu? Mbona rahisi....🤣🤣 mm demu simnunulii chochote mpaka nitakapomuoa kama hataki atulie
ww unamnunulia demu wako dazani za chupi..?