Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

itakua na ww una nyumba ya urithi tu mkuu ndo maana unakua mkali hvo
Wapangaji mnakuwa na hasiiiiira🤣🤣 wapangaji wangu kipindi flani waliniletea story za kujaa wakati najua mfumo wangu sio wa kujaa mavi, nikaenda kuangalia nikachukua na jamaa wa kufungua chamber zote, tunakuta zimeziba zimejaa mapedi kudadeeekii, hiyo nayo ulitegemea baba mwenye nyumba nilipie??
 
Lakini si tunalipa kodi...? Je ile kodi si ni kwa ajili ya mambo kama haya...?
Kodi ni kwa ajili ya kukuruhusu wewe kutumia mali yake, full stop, kwenye maapartments kunakuwa na maintenance charge pembeni, unakuta kodi 3m na maintenance 300-500k, huyo lazima anyonyewe choo, taka anashusha tu chini, corridor na common areas zinasafishwa, ulinzi etc hawa hadi generator linawaka chap umeme ukikata
 
Ni jukumu la faza/ maza house bishoo
Gomeni

Washroom flexible pipe ilikuwa inadondosha maji, nikampigia atume hela nikakinunue 😂😂 na hapo ni kanauzwa tu afu5
Situation uliyoongelea hapa sio sawa kabisaaaa na ya kujaa choo. Wewe kwenye flexible pipe uwezekano wa kuharibika yenyewe bila wewe kuhusika ni mkubwa.. Oya lewa halafu vunja aluminium window yake halafu mtumie picha whatsapp akutumie hela kufix🤣🤣🤣🤣😎
 
Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000.

Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu 10 kila chumba wakuu?
Acha kujiliza mkuu...elfu kumi itoe tu mambo mengine yaende.

Kama unayo toa
Kama huna vunga.
 
Back
Top Bottom