Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

Ni jukumu la faza/ maza house bishoo
Gomeni

Washroom flexible pipe ilikuwa inadondosha maji, nikampigia atume hela nikakinunue 😂😂 na hapo ni kanauzwa tu afu5
Tatizo sisi tunaokaa uswahili jau sana nyumba moja wapangaji 8 kudadeki, wenye nyumba wenyewe hawana kazi zaidi ya kutegemea hela za kodi yaani jau wana gubu sana.
 
Ni jukumu la faza/ maza house bishoo
Gomeni

Washroom flexible pipe ilikuwa inadondosha maji, nikampigia atume hela nikakinunue 😂😂 na hapo ni kanauzwa tu afu5
Watu hamna mchezo kweli. Mimi faza house wangi alinizuia kutengeneza kitu chochote ambacho kukifikia ninahitaji nipande kitu kama stuli au kitu au ngazi.

Pia kitu chochote kinachohusiana na umeme atatuma fundi wake.
 
kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000 inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu 10 kila chumba wakuu....?
Kinacholipa ni mkataba
 
Watu hamna mchezo kweli. Mimi faza house wangi alinizuia kutengeneza kitu chochote ambacho kukifikia ninahitaji nipande kitu kama stuli au kitu au ngazi.
Pia kitu chochote kinachohusiana na umeme atatuma fundi wake
Yes
Hata huyu wetu.. anasema kwenye umeme unaweza mleta fundi wako na asijue wiring ilipitaje, akaja kulipua nyumba… so ni sawa kabisa akimleta wake
 
Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000.

Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu 10 kila chumba wakuu....?
Anae puu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom