Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

Kunya mnye ninyi halafu mwenye nyumba alipe lipeni wenyewe
 
Umeme na maji wapangaji wanatumia huwa analipa mwenye nyumba? Si wanalipa wenyewe .Sembuse choo wanakunya

Wanye wao halafu mwenye nyumba alipe haiwezekani.Lipeni wenyewe
amna choo na maji au umeme ni vtu tofauti kabsa na choo mkuu usifananishe mavi na maji au umeme emu chakata ubongo wako vzri mkuu
 
Kwani umeme ukiisha ni nani anayelipa kati yenu na mwenye nyumba?
unafananisha umeme na mavi serious...? mbna mwendokasi zikiharibika hatuambiwi wananchi tuchangie ili kurekebsha wanarekebsha wenye mradi...?
 
Kunya unye wewe halafu mavi waje wakunyonyee wengine...eboh!!!

Kaa na mavi yako, watakuja kuyanyonya huko huko kwenye utumbo...
 
amna choo na maji au umeme ni vtu tofauti kabsa na choo mkuu usifananishe mavi na maji au umeme emu chakata ubongo wako vzri mkuu
Hivi unanaelewa maana ya Bili ya maji kulipa mpangaji? Au huelewi definition ya maji ?

Maji yamegawanyika sehemu mbili maji masafi na maji taka
Au wewe definition ya maji kulipwa na mpangaji uliewaje labda? Kwenye kipengele cha bill za maji jukumu la mpangaji?
 
Chimbeni choo chenu
 
Hiyo ni bili ya mpangaji kama bili nyingine za maji na umeme, analipia kwa kadiri anavyotumia.
Wapangaji kama mleta mada hujitia wajanja mkataba kama huuelewi ilitakuwa a consult mawakili kumpa tafsiri ya kuwa mpangaji kulipa bili ya maji maana yake nini?

Dharau kwa fani za mawakili ndizo zomemfikisha hapa hadi analeta uzi kuwa bili ya maji taka sio jukumu la mpangaji

Ni jukumu la mpangaji mia kwa mia kwa kuzingatia mkataba unaotamka wazi bili za maji ni jukumu la mpangaji
 
Yaani kunya mnye nyie aje awabebee nnya yenu na ushasema hakai hapo.

1. Nani anawanunulia umeme?

2. Nani anawafanyia usafi wa mazingira kila siku?

3. Nani anawabebea uchafu kama ni kwa wiki au kwa siku
 
nasikitika sana hunielewi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…