Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

Shujaa yupi? Yule muuaji!
 
Nilimuona Nyerere kwa Magufuli, Polepole naona bado hana uwezo wakumfokea aliemzidi umri.
 
kuna kitu kizito kimekuangukia kichwani wewe.
 
Nadhani Dr Bashiru ally Kakurwa unaweza kumfananisha na Nyerere lakini sio mzee wa CSO polepole. Polepole ni mtu wa mipango kwa jina la mjini wanaitwa wazee wa mipango aka ma architects wa upigaji. Inaonekana jamaa ataanzisha vi research ili ale hela za Scandinavia donors.
Hata hii Shule ya uongozi mwenzenu yuko kwenye mchongo wa kuomba funds toka kwa mabeberu na wanavyompinga ndio scorepoints zinazidi za kupata funds.
 
Polepole Acha kujipa promo
 
Yaani kweli mkuu, hebu kuwa seious kidogo. Unamlinganisha Nyerere na vitu vya ajabu sana
 
mimi hapa, na nakwambia Tz ya kesho itaongozwa na watu wenye akili timamu kama POlepole na watu wa aina yake, hawa wajaja wajanja wmisho wao utakuwa n aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…