Hii ni Sonofobia, katafute mtaalam unaelekea kubaya.View attachment 1987073
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Hakuna mtu hapa,View attachment 1987073

Huyu si ndio alikua ananua wapinzani?Polepole hana baya kijana yule. Anaweza sana.
Nyerere hakuwai kuwa jeuri au mwongo.Kuendesha nchi sio kuendesha familia tuelewane tafadhari
Kwani alishindwa nini kuendelea na msimamo wake huku akiendelea kuwa DC?Nyakati zinatofautiana, kila wakati una approach yake ya kupambania mambo.
Sasa angeukataa uDC wakati upo kwenye katiba ambayo kila mtu anatakiwa kuiheshimu
Si ndo yale ya kumfaanisha Magufuli na Nwalimu bado wapo kaziniNaona siku hizi matusi ya rejareja kwa baba wa Taifa ,vijana hamna aibu hata kidogo,sijui mnachotafuta ni nini hasa?
Naunga mkono hoja.View attachment 1987073
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Mku ukishakuwa mwongo na kejeli umeshapotezaHuyu ni rais ajaye,nyota yake inang'aa wasiompenda wajiandae tu kisaikolojia.
CHADEMA wana uchungu naye maana ndo walioididimiza, Sasa hivyi haina hata wabunge isipokuwa Yule mama.Jikite kwenye hoja, hapa tunazungumzia future president.
Alikudanganya?Mku ukishakuwa mwongo na kejeli umeshapoteza
Wanaendeleza ujinga waoSi ndo yale ya kumfaanisha Magufuli na Nwalimu bado wapo kazini