Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

Watabisha ambao hawamfaham. Eeh hicho kichwa ni sumu. Kikikaa meza moja na mtu kama Lisuu. Sipatii picha iyo innovation
 
Shindwa Pepo punda!!
 

Hivi mnamtukana Nyerere kwa Kiwango Hiki? Pole pole is useless
 

Inaelekea wewe kijana humfahamu mwalimu Nyerere, ningekushauri usome maandiko yake kwa makini ili weze kumfahamu. Ni matusi makubwa kumfananisha Nyerere na huyu kinyonga aitwae Polepole!!! Nyerere alikuwa na msimamo na sio hawa wanaobadilika badilika kufuatana na nani anawapa fedha nyingi!!
 

Usimdharirishe Nyerere kwa kumlinganisha na kila mtu
 
Hivi maji na mafuta vinafanana....!!? In my understanding, oil will always come on top....!!
 
Tumwache Baba wa Taifa apunzike kwa amani, viatu vyake ni vikubwa.
 
Kwanza usimfananishe mwalim j.k.Nyerere na wana saisa wa sasa. Yule ndio mwenye true patriotism na nchi yake. Hakuna kiongoz wa sasa kufikia level za mwalimu.

Bado sana polepole bado saaaana
 
Msilazimishe MTU kuwa MTU mwingine ni uzuzu!!
Marehemu mwalimu JK Nyerere alikuwapo mmoja nasasa ametangulia labda huyo umpendae umwite stivunyerere
  • Nyenyere anayejisifu kwa ma vieite (V8)
  • Nyenyere kigeugeu anayeandaa na kukataa mawazo ya wananchi walio wengi kwenye mambo ya msingi mfano katiba.
  • Nyenyere anayeshabikia pesa zilizopotea na kudai hazijaiva.
  • Nyenyere anayeunga wizi wakura kimabavu kwenye uchaguzi
  • Nyenyere anayetaka chama kimoja bungeni kwa njia zisizofaa.
  • Nyenyere mkabila
  • Nyenyere wakunyima wananchi yanayojiri bungeni
  • Nyenyere asowajali wakulima
Usituchoshe na kutukera tulowahi mfatilia hayati Nyerere
 
Huyu ni Polepole hawezi kuwa Nyerere. Nyerere ni level nyingine mkuu
 
Huyo polepole hafikii hata asilimia 1 ya nyerere

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…