Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Daah mnamkosea sana Mwl. JKN. Huyo Pole pole anatabia zote za Umalaya wa kisiasa!
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Polepole ni pimbi na zuzu la kisiasa.

Kiukweli Polepole ni treasure fulani hivi adimu, lakini kwa vile uwezo wa wana jf wengi kwenye mambo ya critical thinking and logical and analytical abilities ni mdogo hivyo wengi watakubeza, ni wajinga!.Asante kwa kuiweka kitaalam zaidi.
Mtazame kwa umakini ndugu Polepole...utamuona Nyerere amezaliwa upya
Yaani huyu kigeu geu ndio awe future president, mtu anaeweza kujikana?Jikite kwenye hoja, hapa tunazungumzia future president.
Mkuu Tui , Mwalimu Nyerere was a great man, hivyo kwa mtu anayeonekana ni wa kawaida, kumfananisha na a great man, utaonekana ni glorifying an ordinary man into a great man. Inahitaji mtu mwenye analytical abilities with critical thinking na logical progression. Kiukweli sio wengi humu wanamjua Nyerere kwa kumfanyia analytical analysis hivyo Polepole wanamchukulia poa. Jifunze kitu kinachoitwa critical thinking na logical progression upate analytical abilities. Huu ni uwezo. Jaribu tena kumdurusu Polepole hapa Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!Mayalla,Mayalla kweli ni wewe au wa hack account yako?Kumfananisha na Nyerere ni sawa na kufananisha Liverpool na Ihefu.No innuendo intended. Ni ujinga wa hali ya juu.
Wewe chizi kweli. Kapimwe akili.Baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere.
Mku hoja ni kioo cha kujipima uwezo wako jitahidi kujua namna kuzijibu.Alikudanganya?
Mbona Mbowe alidanganya kavunjwa sijui mguu na watu wasiojulikana Dodoma kumbe alibugia Faru John.
Alidanganya account zake zilifungwa na TRA kumbe ugonvi wa kifamilia.
Na bado ni mwenyekiti?
Familia ni ngumu, nchi ni taasisiKuendesha nchi sio kuendesha familia tuelewane tafadhari
Kabisa bora huyu mara 100 kuliko Miguru. Kuliko February
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Nyerere nakupenda wala kuwaringishia watu na ma v8. Huyu ni msakatonge tu kama wewe.
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Humjui nyerere wewe. Basi jitahidi kusoma maandiko yake ntakusaidia. Huyu alishiriki kununua wabunge wa upinzani na kuwarudisha kwenye majimbo yaleyale tena kwa dharau kubwa????? Zile gharama za kununua mbunge na kurudi uchaguzi si zingefanya mambo mengine ya maendeleo!Baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere.