Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Umeona ee?!!
Kwamba wote wamevaa hijabu ??Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.
Tunaishi na watoto hawa humu mitaani, Kila pembe ya nchi hii watoto wamezibuka vibaya. Vibaya mno. Haya yanayorushwa, kama dar, yapo Kila pembe.........kwanini clip zinazorushwa zinafanana?!!! Tafakari
π€£π€£π€£
Sijui mkuu.Kwamba wote wamevaa hijabu ??
Sheria ya kuwafunga wanaume miaka 30 jela sababu ya kutembea na vibinti inabidi irudiwe upya.
Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.
Tunaishi na watoto hawa humu mitaani, Kila pembe ya nchi hii watoto wamezibuka vibaya. Vibaya mno. Haya yanayorushwa, kama dar, yapo Kila pembe.........kwanini clip zinazorushwa zinafanana?!!! Tafakari
Sheria ya kuwafunga wanaume miaka 30 jela sababu ya kutembea na vibinti inabidi irudiwe upya.
Nashangaa serikali inadili sana kuwafunga wanaume wanaooa/ wanaotembea na hivi vibinti, ila ni kama haiwaoni mashoga k.v kina anko t, James delicious na maudhui Yao ya kuipotosha jamii Xi Jinping
Inasikitisha kwa kweliHizi picha zinafurahisha na kupendeza ikiwa hao watoto sio wa kwako au huna nasaba nao!!
Kwa kweli huko mitaani suala la mmomonyoko wa maadili limefikia pabaya Sana...ukiwa mlezi, mzazi au hata mtu mwema unapatwa na huzuni juu ya matukio yanayoendelea huku mitaani!!
Haya yanayorushwa mitandaoni ni machache kati ya yale mengi yanayoendelea kila siku huku mitaani!!!
Lakini kwa mazingira niliyopo haya yanachangiwa sana na umasikini kwa kiwango kikubwa kwa matukio haya yamekuwa yakishamiri au kutokea kwenye maeneo yenye watu duni kiuchumi
Wazazi wanafukuzana na shughuli za kujipatia mkate wa kila siku kama unavyojua wanyonge wengi wetu tunatumia nguvu na miili yetu kujipatia ridhiki na tunatumia muda mrefu hivyo tunakosa muda wa kulea watoto badala yake tunawafuga kwa kuwapa chakula na malazi huku tukiacha jamii iwalee....jamii ambayo imeshaharibika matokeo yake ndio hayo!!
Kwa kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana
Umesema yote sheikhHizi picha zinafurahisha na kupendeza ikiwa hao watoto sio wa kwako au huna nasaba nao!!
Kwa kweli huko mitaani suala la mmomonyoko wa maadili limefikia pabaya Sana...ukiwa mlezi, mzazi au hata mtu mwema unapatwa na huzuni juu ya matukio yanayoendelea huku mitaani!!
Haya yanayorushwa mitandaoni ni machache kati ya yale mengi yanayoendelea kila siku huku mitaani!!!
Lakini kwa mazingira niliyopo haya yanachangiwa sana na umasikini kwa kiwango kikubwa kwa matukio haya yamekuwa yakishamiri au kutokea kwenye maeneo yenye watu duni kiuchumi
Wazazi wanafukuzana na shughuli za kujipatia mkate wa kila siku kama unavyojua wanyonge wengi wetu tunatumia nguvu na miili yetu kujipatia ridhiki na tunatumia muda mrefu hivyo tunakosa muda wa kulea watoto badala yake tunawafuga kwa kuwapa chakula na malazi huku tukiacha jamii iwalee....jamii ambayo imeshaharibika matokeo yake ndio hayo!!
Kwa kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana
Nivile tu tunajisahaulisha au kwa vile haya mambo yamekua hadharan sana hii miyeyusho imekuapo miaka yote tumefanya chenga kubwa zaid ya hiz wakat wakumaliza shule ikiwemo kutandika walimu ni vile tu hakukua na kamera na social mediaHizi picha zinafurahisha na kupendeza ikiwa hao watoto sio wa kwako au huna nasaba nao!!
Kwa kweli huko mitaani suala la mmomonyoko wa maadili limefikia pabaya Sana...ukiwa mlezi, mzazi au hata mtu mwema unapatwa na huzuni juu ya matukio yanayoendelea huku mitaani!!
Haya yanayorushwa mitandaoni ni machache kati ya yale mengi yanayoendelea kila siku huku mitaani!!!
Lakini kwa mazingira niliyopo haya yanachangiwa sana na umasikini kwa kiwango kikubwa kwa matukio haya yamekuwa yakishamiri au kutokea kwenye maeneo yenye watu duni kiuchumi
Wazazi wanafukuzana na shughuli za kujipatia mkate wa kila siku kama unavyojua wanyonge wengi wetu tunatumia nguvu na miili yetu kujipatia ridhiki na tunatumia muda mrefu hivyo tunakosa muda wa kulea watoto badala yake tunawafuga kwa kuwapa chakula na malazi huku tukiacha jamii iwalee....jamii ambayo imeshaharibika matokeo yake ndio hayo!!
Kwa kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana
Basi kundi hilo kitakuwa halijielewi maana kiukweli baada ya miaka 20/30 hivi ijayo, sijui kama Kuna mtu atatamani kuwa na kiti maana hakuna kitakachoeleweka......utawaambia nini' hawa kwa mfano?!!!! Utapanga utaratibu gani wa kuelewa hawa?!!!Iwe kimkakati usiwe kimkakati.. ila deep down Kuna kundi fulani linafaidika sana na uwepo wa aina hii ya watu katika jamii...
Tena wawe wengi ili viti vyao viwe salama