Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

Mwisilamu mwezie ila Kabishiru kashidwa kusema chochote suala la Polepole kwangu huyu Useless
 
Bashiru panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu muda huu 2030 tutakuwa tunamuita Mhe.Rais
Baada ya aliepo kuondoshwa na "Mungu pamoja nasi"kushika Hadi 2030!!?itabidi kijiti kirudikwa mvaa kanzu coz ndie mwenye PhD halali yenye mashiko!!?

Nawaza the!
 
Back
Top Bottom