Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Sanduku la kuraaaa
 
Ukimya wa Job unatafakarisha sana, tena ukimya wake unaonekana kupaza sauti nginjanginja
 
Wazanzibar kuwa hawajali mali za watanganyika
 
Ndio nimegundua Jobo alikua presidential material. Sijui bodo anautaka?
 
Yaani mpaka natetemeka!! Nimelazimika kuyarejea maandiko kwenye Vitabu vitakatifu!!

Kuna Wana wake walitumika kiyaangamiza mataifa, namshukuru Mungu naishuhudia hii miujiza Tena kwenye Taifa langu la Tanganyika!!!

CCM na Vyombo vya Usalama viamke Sasa na kuchukua hatua!!

Ikibidi ufanyika uchunguzi wa kitabibu isijekuwa Kuna tatizo kubwa kubwa.

Huyu mzanzibari achukuliwe hatua kabla hajatutumbukiza shimoni
 
Mtu wa pwani kawaida yake kula bata and kutopenda fanya kazi ngumu it’s natural kua hivyo
 
KUNA WATU WANAMUONA LISSU NA REMA KAMA WAJINGA .ILA MTAJUTA KUCHAGUA CCM
 
Halafu Kuna watu wanasema Watanzania wamelala,

Wengi wanachukizwa sana na mwenendo huu, hawana tu la kufanya.
 
Ila bhn wananchi tungepewa ata million moja moja fureshi tungekua huu mkopo mpya umetumikaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…