Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Acha mauzushi yako wewe jamaa
 
Kama kupigwa mnada Afrika nzima ingeshapigwa mnada miaka mingi iliyopita. Viongozi wetu wakijifungia ndani huwa mnakuja na maandiko yanayowakejeli pia.
Mkuu jana watanzania walikuwa wana wacheka akina Mangungu na Mirambo, sasa leo mambo ni yale yale, na nadhani ni bora yale kuliko yanayoendelea. TUJITAMBUE NA KUJIREKEBISHA,Nchi ni ya sisi sote, - TULIOPO NA WANAOKUJA (WATAKAO ZALIWA)
 
Hakuna hii kitu ever
 
"Kuleni kulingana na urefu wa kamba zenu".


Kumbe yeye alikuwa anajua anachoenda kukifanya.
 
Tungekuwa na Jeshi linalojitambua lingeikomboa nchi maana kwa mfumo haramu wa uchaguzi waliojiwekea sanduku la kura halina uwezo wa kuiponya nchi. Wajeda nao ndiyo hivyo makamanda wao ni makada watiifu wa hawa watesi wetu.
Jeshi ambalo halijawahi kupigana vita yoyote ni wananchi waliochangamka tu
 
Salaam, Shalom!!

Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.

Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa?...
Upigwe tu
 
Sasa mama mjamzito ataweza Kweli kuingia kupitia Dirishani?

KAZI IPO🤔
Faida za kung'ang'ania kimara sijui sinza wakati ujinga wa kibongo tunaujua,nenda manerumango uone kama mambo yakupandia madirishani yapo,sikuhizi hata mbagala mliyoiponda sana enzi zake haina tena huo ujinga,ila yote ya yote ni matokeo ya ujinga wa Kitanzania 🤪
 
Yupo home na anasoma koment zetu mkuu..... tujitahid tu kumuomba radhi kama kuna mahala tulimtusi.
 
Yupo home na anasoma koment zetu mkuu..... tujitahid tu kumuomba radhi kama kuna mahala tulimtusi.
Kwa alivyo sema nchi itauzwa alikua sahihi na sikuwahi kumpinga kwa hilo kwa sababu aliongea ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…