Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

Kama mods wana acha waposti sioni tatizo, humu kuna kaugonjwa ka I'd za zamani kuona kila I'd mpya akipost kitu anapost ujinga , kama unaona ni ujinga achana nae kuna ambao tuta msapost wewe nenda kwenye post unazoona zina akili
 
Ok fine,

Kwaio wewe unaweza kumsapot mwanaume anaesema anavutiwa na mwanaume mwenzie ?
 
Hizo I'd mpya zote zilidai hivyo? Kwa nini mods waliacha apost hivyo?

Nitajua vipi ni I'd inayoendeshwa na mwanaume imedai hivyo?
 
Mostly id mpya zote zinapost non-sense jipe hw fatilia

Sina majibu labda waje kujibu wao wenyewe.

mbona simple kujua hilo halihitaji ata akili kubwa
Ni maoni yake , na machaguo yake , kama mods wameacha anayo haki ya kufanya hivyo , ndio maana kuna option ya ignore
 
Back
Top Bottom