Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Hamuwataki wageni wakati mpo dormant kifkra yani Kila siku ni Uzi wa kula tunda kimasihara tu🤣🤣
Tumekuja kuamsha watu visukari..... sorry mtoa post just jokes
nshazionaAngalia kwenye forum mbalimbal utaziona hata hapa kwenye huu uzi wapo
Unamsaidiaje huyu mtu mchuzi juuKila siku kuna ingizo jipya
Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy
NB : Jf is threat to the throne
Aache ujingaUnamsaidiaje huyu mtu mchuzi juu
Sijaelewa vizur mkuu.. nifahamishe vyema 🤗🤗🤗Unamsaidiaje huyu mtu mchuzi juu
Karibu uwanja wa vitaSijaelewa vizur mkuu.. nifahamishe vyema 🤗🤗🤗
Nimekaribia mkuu.Karibu uwanja wa vita
Hapa ni kisima cha maarifaNimekaribia mkuu.
Ingawa nina uzoefu kidogo
Niliamza kupata maarifa since 2017 ... sasa nipo liveHapa ni kisima cha maarifa
Hongera sanaNiliamza kupata maarifa since 2017 ... sasa nipo live
Ok.. fine ..Hongera sana
Kaa kwa password...Hawajiamini
Kabiiiiiiisa loveKaa kwa password...