zipo nyingi mno pokerHizo id ziko wapi mbona mimi sikutani nazo?
Usikute ni wale wa buku 7 perdiemHii kitu najiuliza hii week,naona ID mpya tele,
Sio wageni wa jf,
shati jipya,kiatu Cha zamani📌
Wanachangamsha kijiwe😂Hii ni hatari sana sjui wanna plan gani!
Hawashindwi😂Usikute ni wale wa buku 7 perdiem
Kila siku kuna ingizo jipya
Hata wewe wa hovyo tu
Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy
NB : Jf is threat to the throne
Vumilia watu,ndivyo ilivyo kuishi ndani ya jamii, wengine kuna nyuzi hatuzipendi na ndiyo zipo miaka nenda rudiWaache ujinga mara moja
Aisee.Staki kuamini
Wewe ni kama huwa unawashwa kuazisha nyuzii,yaani unakuta nyuzi nyingi hazina kichwa Wala miguu.acheni ujinga mnapost upuuzi kila dakika
Change or perish.Kuwa na nidhamu itakusaidia
Muda ndio Kila kitu,kikitimia tutaona.I think kuna kitu kinapikwa beyond