Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

Uyo supplier wa kutoa pesa nae mwehu Yaan ushinde kwenye mfumo utoe pesa kwa procurements haipo iyo mana akishinda nikudeal na user departments kwa clear specification
Sawa.
 
Mawazo kama hayo ni chukizo kwa Mungu. Unaanza kufikiria ufisadi kabla hujapata ajira yenyewe?! Je, Mungu akikunyima kazi ili akuepushe na dhambi hiyo, utamlaumu? Tukikosa kazi (ajira), tunalalamika ooooh kazi hakuna, ooooh serikali haitoi ajira, wakati kumbe laana tumezitafuta sisi wenyewe. Mungu hakupi kazi kama unafikiria kwenda kuiba!
 
Watanzania uwa sijui tunazaliwa tukiwa na PhD ya upigaji.

Jichanganye umuachie mtz biashara bila kufuatilia umuamini utalia hata awe ndugu yako.
Na hyo ndo character ya wabongo.. no wonder mabos wakihind huwa wanakua na roho mbaya nao.. mtu unajiuliza.. why.. kumbe muhind wawatu keshawasoma wabongo kitambo.. ni washenz sana ngoz nyeus
 
Hakuna dili ambalo mtu wa manunuzi atacheza pasipo kumshirikisha mhasibu.
Supplier ili alipwe kwa wakati inabidi aishi vizuri na mhasibu vinginevyo itakua ni sound tu kila siku.
To me mhasibu is far better kuliko mtu wa manunuzi.
Yaani wewe ndo hakuna unachojua kabisa
 
Dah! Mzee mwenzangu na mimi nimepata uchungu sana, yaani tunawaza kuwa nchi siku moja iendelee iwe corruption free society lakini hawa vijana wetu wanawaza kuiba!!
Hivi kijana kama huyu ukimuachia nchi si atafanya kama wale wakaka wa kule Sri Lanka?
 
Mhasibu ni Clatous Chama ( Kiungo cha Chini ) na Afisa Manunuzi ni Jonas Mkude ( Kiungo wa Juu ) ambao Wote wanategemeana kwa Ushindi wa Timu ( Taasisi ) uliyopo.
 
Waajiriwa wa Tanzania wanawaza kupiga hela kuliko kutoa huduma; ndiyo maana reshuffle hazikomi
 
Hivi unaelewa kama tunajinyima sana kuwalipia school fees shule za gharama halafu watoto wenyewe hamna akili?
Kuna mbunge aliitaka serikali ianze kufundisha wizi kwa watumishi wake maana wote wanawaza kuiba tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…