Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Akimtoa Majaliwa na kwa jinsi Majaliwa anavyokubalika na watu kuliko yeye nadhani ndiyo atakuwa amempatia tiketi yake ya kuwa Rais wa JMT
Nje ya Serikali ya CCM Majaliwa ni mwepesi zaidi ya unyoya wa kuku. Wahuni msijipe matumaini hewa.
 
Sisi hatumkingii kifua tunauliza tu maana kama ni utendaji mbovu uko kila mahali wananchi wanalia mfumko wa bei, wanalia mgao wa maji, wanalia mgao wa umeme, wakulima wanakufa kwenye foleni wakisubiri mbolea za ruzuku, hospitali madawa hakuna
Yote sawa kwa kuwa mtendaji mkuu wa serikali ni waziri mkuu anapaswa kujihudhuru ili ampatie mwenye wajibu wa kuteua ateue mwingine

Ili yayo madudu yaishe yote ama ama yapungue tunapaswa kuwapumzisha CCM madaraka Ili waje wengne inavyoonekana wamefikia ukomo wa uwezo wa kuongoza.

Kwa sasa kipaumbele chao ni uchaguzi ujao ndio maana ya hayo madudu na si vingine.

Kama Taifa pia tunapaswa tuwe na katiba mpya ambayo iwe na utaratibu wa kuwajibika au kuwawajibisha viongozi
 
Tulia bwamdogo, acha roho mbaya kama mama wa kambo. Mtendaji mkuu mtendaji mkuu my ass. Kassim haendi kokote kaandikeni gazeti lingine
 

Kwani waziri mkuu ni msafi? Yeye mwenyewe alirudi madarakani kwa njia chafu. Kama wakati ule aliona sawa kuendekeza siasa chafu, acha afanyiwe siasa chafu vilevile.
 
na wale wa kule uingereza wanaojiuzulu kila siku kuna mradi gani unaendelea?
yaani mtu afanye uzembe kwenye eneo lake la kazi watu wakipiga kelele awajibike mnasema wametumwa?
hii kweli Africa na hapa ni tz
 
Na wewe ni Mmoja wao usijitoe ufahamu Nani asiyejua?!!
 
Tulia bwamdogo, acha roho mbaya kama mama wa kambo. Mtendaji mkuu mtendaji mkuu my ass. Kassim haendi kokote kaandikeni gazeti lingine
Nawe ni miongoni mwa mliolipwa na waziri mkuu ili kumtetea nilifikili unazo sababu zinazokufanya uone si halali kuwajibika kumbe hakuna kitu

Wacha tuone mwisho itakuwaje maana hana sifa za kuwa waziri mkuu wa awamu ya sita
 
Ukishajua ndio itakuwaje? Acha upumbavu. Jamako kafeli, au ni mumeo?
 
na wale wa kule uingereza wanaojiuzulu kila siku kuna mradi gani unaendelea?
yaani mtu afanye uzembe kwenye eneo lake la kazi watu wakipiga kelele awajibike mnasema wametumwa?
hii kweli Africa na hapa ni tz
Unataka waziri mkuu ajiuzulu?
 
Akitumbuliwa tunaingia msituni labda masoja watuangushe. Mana na wao wanaishi paycheck to paycheck. Sema wanamlinda jamaa anayetunyonya. Yaani Kuna kamfumo haka Ni kakijinga mno. Yaani Askari anamlinda masikini wenzake ili wote wanyonywe taratibu. Kodi ama pesa yetu unalipwa kisa Kuna Askari eti kuendesha nchi na huku wengine wakiifuja na wakiiba wengine wanasomea chini darasa la tope. Yaani haka kamfumo ka serikali kuwa na kesho Basi tu. Sema wanajeshi ama Askari nao elimu ndogo hawawezi elewa
 
Unataka waziri ajiuzulu?
mm sijasema hivyo. wala sipo kwenye kundi la kushinikiza yeyote ajiuzulu kwakuwa najua halitatokea.
ile siyo ajali ya kwanza kutokea majaliwa akiwa PM sasa sioni cha ajabu toka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…