Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Wewe na wengine ambao nanyi mnamkingia kifua mmelipwa na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatumkingii kifua tunauliza tu maana kama ni utendaji mbovu uko kila mahali wananchi wanalia mfumko wa bei, wanalia mgao wa maji, wanalia mgao wa umeme, wakulima wanakufa kwenye foleni wakisubiri mbolea za ruzuku, hospitali madawa hakunaWewe na wengine ambao nanyi mnamkingia kifua mmelipwa na nani
Nje ya Serikali ya CCM Majaliwa ni mwepesi zaidi ya unyoya wa kuku. Wahuni msijipe matumaini hewa.Akimtoa Majaliwa na kwa jinsi Majaliwa anavyokubalika na watu kuliko yeye nadhani ndiyo atakuwa amempatia tiketi yake ya kuwa Rais wa JMT
Yote sawa kwa kuwa mtendaji mkuu wa serikali ni waziri mkuu anapaswa kujihudhuru ili ampatie mwenye wajibu wa kuteua ateue mwingineSisi hatumkingii kifua tunauliza tu maana kama ni utendaji mbovu uko kila mahali wananchi wanalia mfumko wa bei, wanalia mgao wa maji, wanalia mgao wa umeme, wakulima wanakufa kwenye foleni wakisubiri mbolea za ruzuku, hospitali madawa hakuna
Tulia bwamdogo, acha roho mbaya kama mama wa kambo. Mtendaji mkuu mtendaji mkuu my ass. Kassim haendi kokote kaandikeni gazeti lingineYote sawa kwa kuwa mtendaji mkuu wa serikali ni waziri mkuu anapaswa kujihudhuru ili ampatie mwenye wajibu wa kuteua ateue mwingine
Ili yayo madudu yaishe yote ama ama yapungue tunapaswa kuwapumzisha CCM madaraka Ili waje wengne inavyoonekana wamefikia ukomo wa uwezo wa kuongoza.
Kwa sasa kipaumbele chao ni uchaguzi ujao ndio maana ya hayo madudu na si vingine.
Kama Taifa pia tunapaswa tuwe na katiba mpya ambayo iwe na utaratibu wa kuwajibika au kuwawajibisha viongozi
Umeshamuuliza mamako lakini?
Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
na wale wa kule uingereza wanaojiuzulu kila siku kuna mradi gani unaendelea?Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Swali zuri sana ,akilijibu na yeye anafadhiliwa na nani ,please ni tag.Wewe na wengine ambao nanyi mnamkingia kifua mmelipwa na nani
Na wewe ni Mmoja wao usijitoe ufahamu Nani asiyejua?!!Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Si mimi, mimi babu yako.Mama yangu si wewe?
Nawe ni miongoni mwa mliolipwa na waziri mkuu ili kumtetea nilifikili unazo sababu zinazokufanya uone si halali kuwajibika kumbe hakuna kituTulia bwamdogo, acha roho mbaya kama mama wa kambo. Mtendaji mkuu mtendaji mkuu my ass. Kassim haendi kokote kaandikeni gazeti lingine
Sawa mkuu wamekimbia wacha tuwasubilieSwali zuri sana ,akilijibu na yeye anafadhiliwa na nani ,please ni tag.
Kamba, pena , mwigu na mtoto wa Nanii watimuliwe kwanza.Kwani hamuwajui
Makamba ,Nape ,Mwigulu na Bashe
Na UVCCM
NA KAMATI KUU YA CCM
Ukishajua ndio itakuwaje? Acha upumbavu. Jamako kafeli, au ni mumeo?Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Unataka waziri mkuu ajiuzulu?na wale wa kule uingereza wanaojiuzulu kila siku kuna mradi gani unaendelea?
yaani mtu afanye uzembe kwenye eneo lake la kazi watu wakipiga kelele awajibike mnasema wametumwa?
hii kweli Africa na hapa ni tz
Akitumbuliwa tunaingia msituni labda masoja watuangushe. Mana na wao wanaishi paycheck to paycheck. Sema wanamlinda jamaa anayetunyonya. Yaani Kuna kamfumo haka Ni kakijinga mno. Yaani Askari anamlinda masikini wenzake ili wote wanyonywe taratibu. Kodi ama pesa yetu unalipwa kisa Kuna Askari eti kuendesha nchi na huku wengine wakiifuja na wakiiba wengine wanasomea chini darasa la tope. Yaani haka kamfumo ka serikali kuwa na kesho Basi tu. Sema wanajeshi ama Askari nao elimu ndogo hawawezi elewaNimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
mm sijasema hivyo. wala sipo kwenye kundi la kushinikiza yeyote ajiuzulu kwakuwa najua halitatokea.Unataka waziri ajiuzulu?