BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Awamu ya wezi na wauaji hana sifa nayo, yupo hapo kwa ajili ya awamu ijayo baada ya hii kupita haraka kama upepo. Mguseni tuone.Nawe ni miongoni mwa mliolipwa na waziri mkuu ili kumtetea nilifikili unazo sababu zinazokufanya uone si halali kuwajibika kumbe hakuna kitu
Wacha tuone mwisho itakuwaje maana hana sifa za kuwa waziri mkuu wa awamu ya sita
Yamekuwa ya kutishana tena duuhAwamu ya wezi na wauaji hana sifa nayo, yupo hapo kwa ajili ya awamu ijayo baada ya hii kupita haraka kama upepo. Mguseni tuone.
Hoya inatosha mshakuwa wengi,Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Kwahiyo yanayoendelea ndio yanasababishwa na waziri mkuu? Hakuna aliyekutishia nimesema mguseni tuone na mimi nikiwemo. Nina shauku ya kuona hii kampeni yenu dhidi ya waziri mkuu itaishia wapiYamekuwa ya kutishana tena duuh
Eti mguseni muone ,yawezekana wewe sio mtanzania. Yanayoendelea nchini huyaoni au wewe hauishi Tanzania ?
Tunahtaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo Kwa watu wake pia awe na uwezo wa kuwajibika anaposhindwa kutimiza wajibu wake
Kutumika mkuu ni kubaya saana wewe endelea kumtumikia waziri mkuu kipindi hicho anaborongaKwahiyo yanayoendelea ndio yanasababishwa na waziri mkuu? Hakuna aliyekutishia nimesema mguseni tuone na mimi nikiwemo. Nina shauku ya kuona hii kampeni yenu dhidi ya waziri mkuu itaishia wapi
Huna hoja. Wewe unamtumikia nani?Kutumika mkuu ni kubaya saana wewe endelea kumtumikia waziri mkuu kipindi hicho anaboronga
Mwambie majaliwa yupo ila 2025 atapumzika na chama Chake,Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Ungelijua nyadhifa ya waziri mkuu, usingeuliza swali la kipuuzi hicho.......majaliwa ka_prove failure sanaNimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia
Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?
Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Huna hoja. Wewe unamtumikia nani?
Huna loloteMasilahi ya mama Tanzania
Itakuwa wewe pahali unapoishi ni zaidi ya peponi hongera mkuu ,inamaana haujui mgao wa umeme ,maji na unanunua kifurushi made in waziri mkuu mia tano GB tano kwa mwezi nayo huwezi kuimaliza .Huna lolote
Duh....!.Wenye Macho tunaona!,
"Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za makamba na sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke!
Alamsikhi.
10101.
Pengine ni demu kweliWacha woga kama una uhakika na unachoandika funguka tu siyo unajiumauma kama demu
Kwani majaliwa sio mpigaji?Majaliwa anatengenezewa zengwe ili aondoke nafasi yake. Kuna kundi la wapigaji wanataka waikamate nchi kwa asilimia mia moja, yaani wale kwa uhuru wao wote.