Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

Nawe ni miongoni mwa mliolipwa na waziri mkuu ili kumtetea nilifikili unazo sababu zinazokufanya uone si halali kuwajibika kumbe hakuna kitu

Wacha tuone mwisho itakuwaje maana hana sifa za kuwa waziri mkuu wa awamu ya sita
Awamu ya wezi na wauaji hana sifa nayo, yupo hapo kwa ajili ya awamu ijayo baada ya hii kupita haraka kama upepo. Mguseni tuone.
 
Awamu ya wezi na wauaji hana sifa nayo, yupo hapo kwa ajili ya awamu ijayo baada ya hii kupita haraka kama upepo. Mguseni tuone.
Yamekuwa ya kutishana tena duuh

Eti mguseni muone ,yawezekana wewe sio mtanzania. Yanayoendelea nchini huyaoni au wewe hauishi Tanzania ?

Tunahtaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo Kwa watu wake pia awe na uwezo wa kuwajibika anaposhindwa kutimiza wajibu wake
 
Aondolewe tu na kiherehere chake cha kuhamia Dodoma.Bogus man
 
Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia

Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?

Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Hoya inatosha mshakuwa wengi,

mwambieni haje mwenyewe tena nimemuona tabata mchana huuhuu
 
Yamekuwa ya kutishana tena duuh

Eti mguseni muone ,yawezekana wewe sio mtanzania. Yanayoendelea nchini huyaoni au wewe hauishi Tanzania ?

Tunahtaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo Kwa watu wake pia awe na uwezo wa kuwajibika anaposhindwa kutimiza wajibu wake
Kwahiyo yanayoendelea ndio yanasababishwa na waziri mkuu? Hakuna aliyekutishia nimesema mguseni tuone na mimi nikiwemo. Nina shauku ya kuona hii kampeni yenu dhidi ya waziri mkuu itaishia wapi
 
Kwahiyo yanayoendelea ndio yanasababishwa na waziri mkuu? Hakuna aliyekutishia nimesema mguseni tuone na mimi nikiwemo. Nina shauku ya kuona hii kampeni yenu dhidi ya waziri mkuu itaishia wapi
Kutumika mkuu ni kubaya saana wewe endelea kumtumikia waziri mkuu kipindi hicho anaboronga
 
Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia

Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?

Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Mwambie majaliwa yupo ila 2025 atapumzika na chama Chake,

Ndio anayo mapungufu kwani wanamsingizia, ila Sasa ukimpiga chini na kuteuliwa mwingine ni mzigo mkubwa kwa taifa, ukizingatia ccm inaenda kufa
 
Pamoja na yote wananchi tunatakiwa tuwe makini na viongozi wenye dhamana wapimwe kwa matokeo kama MAKOCHA. matokeo yawe chanya yakiwa hasi wanapigwa chini. Hivyo tu na maendeleo tutayaona. Hatutaki visingizio
 
Nimefuatilia baadhi ya Magazeti likiwemo Raia Mwema likiripoti kutaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa angoke au atumbuliwe na Rais Samia

Huu ni mkakati mkubwa ambao una ufadhili mkubwa sana maana kama ni watendaji wabovu Serikalini wako wengi sana kuanzia Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya lakini WHY anashambuliwa Majaliwa tu?

Ni nani yuko nyuma ya jambo hili?
Ungelijua nyadhifa ya waziri mkuu, usingeuliza swali la kipuuzi hicho.......majaliwa ka_prove failure sana
Kama ni wewe jichunguze sana
 
Huna lolote
Itakuwa wewe pahali unapoishi ni zaidi ya peponi hongera mkuu ,inamaana haujui mgao wa umeme ,maji na unanunua kifurushi made in waziri mkuu mia tano GB tano kwa mwezi nayo huwezi kuimaliza .

Kila kukicha pahali unapoishi huguswi na matokeo ya uzembe pamoja na ubazilifu wa mali za umma

Wacha nikuache uende ukachukue posho ako
 
Majaliwa ni tunda zuri lazima lipondwe mawe na mafisadi ili abaki mama na PM mwelekeo wao walambe asali vizuri. Jaribu waone matokeo yake.
 
Wenye Macho tunaona!,
"Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za makamba na sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke!
Alamsikhi.
10101.
Duh....!.
P
 
Back
Top Bottom