Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

Mwanamke anaovo jiweka ndivyo tunavyo m-interprete , ukiwa na standards utafwatwa na wenye standard pia .

kwahyo huyo muanzisha mada ni CHEAP hakuna mazoezi wala mwili.
Hiyo statement huwa mnaitoa wapi? Kuna kipindi kazini kwetu tulikuwa tunatumia boda kumtuma kwenye ofisi mbalimbali, au saa nyingine anakupeleka, cha ajabu baadae anakutafuta anakutongoza! Sasa hapo kujiweka kuna husiana vipi kwamba ulikaa uchi mbele yake au?

Kuna madogo kibao tu hawanaga adabu ukienda hata kununua kitu dukani baadae linakutongoza!
 
Matokeo yake mkikutana na size zisizo zenu mnakuja hapa kuanika nyuzi kama mnataka kushona nguo, milio kibao!
Mjukuu wangu, hakuna oversize, ile ni one size fits all.
Ukiona mtu analalama sufuria pana sana. Mara mwiko mwembamba sana jua hawana ujuzi wa upishi.
 
Hiyo statement huwa mnaitoa wapi? Kuna kipindi kazini kwetu tulikuwa tunatumia boda kumtuma kwenye ofisi mbalimbali, au saa nyingine anakupeleka, cha ajabu baadae anakutafuta anakutongoza! Sasa hapo kujiweka kuna husiana vipi kwamba ulikaa uchi mbele yake au?

Kuna madogo kibao tu hawanaga adabu ukienda hata kununua kitu dukani baadae linakutongoza!
Hyo ni minor case na huyo boda pia kafanya hvyo kwasababu ya cheap boundaries ndomana nkasema unavo jiweka ndo tunavyo kutafsiri.

Huyo boda kafanya uthubutu kwasababu tayari kuna mazoea kati kati.

Huwezi mparamia mwanamke ELEGANT nadhani wanaume wanaelewa, kwahyo mwanamme mpaka anakujia kasha fanya calculation kafikia jibu kwamba anakuweza.

wanaume tunamove kwenye lane zetu , tunatongoza tunao wamudu na tunao ona ni lahisi kuwafikia.
 
Attachments

  • Screenshot_20260901-142912~2.png
    Screenshot_20260901-142912~2.png
    478 KB · Views: 6
Hyo ni minor case na huyo boda pia kafanya hvyo kwasababu ya cheap boundaries ndomana nkasema unavo jiweka ndo tunavyo kutafsiri.

Huyo boda kafanya uthubutu kwasababu tayari kuna mazoea kati kati.

Huwezi mparamia mwanamke ELEGANT nadhani wanaume wanaelewa, kwahyo mwanamme mpaka anakujia kasha fanya calculation kafikia jibu kwamba anakuweza.

wanaume tunamove kwenye lane zetu , tunatongoza tunao wamudu na tunao ona ni lahisi kuwafikia.
Huo ni mtazamo wako na hao wanaume unaowasemea ila sio sheria. Kuna watu wapo hivyo hakujui kakuona tu na anakuface, we unatumia vigezo vipi kuona huyo ndio size yangu wakati hakuna mazoea?
 
wangu, hakuna oversize, ile ni one size fits all.
Ukiona mtu analalama sufuria pana sana. Mara mwiko mbembamba sana jua hawana ujuzi wa upishi.
Hahaha mimi nikajua kila mmoja ana maumbile yake kumbe yanafanana na husemi babu?
 
Huo ni mtazamo wako na hao wanaume unaowasemea ila sio sheria. Kuna watu wapo hivyo hakujui kakuona tu na anakuface, we unatumia vigezo vipi kuona huyo ndio size yangu wakati hakuna mazoea?
Huyo basi ni expert mkubwa wa kutongoza.

Obvious wanaume tunatongoza tunao waweza.
 
Back
Top Bottom